Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Washazoea nyimbo zao zinazohamasisha ungese . Nilikuwa namsikiliza Kiba kwenye moja ya interview nilipenda aliposema yeye huwa anatunga wimbo/nyimbo ambayo hata make mzazi ataweza kuisikiliza.

Sasa kwa kauli hiyo ukiona wewe humuelewi kiba maana yake akatafute mwanamuziki anayemuelewa atakayeimba nyimbo zao za kishenzi.
Hamna kitu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya R Kelly itoe, ilikuwa ni project tu kama Coke studio na wakakutanishwa wanamuziki wengi wa Kiafrika na kwa Tanzania ndiyo alichaguliwa Kiba lakini unavyoielezea ni kama R Kelly na Kiba walikubalia wakaandaa wimbo wa pamoja. That shit never happened.
Hiyo collab ya Akon hebu weka link, sijawahi kuisikia au japo weka jina la wimbo niutafute mwenyewe isijekuwa unadanganya kama ulivyodanganya hiyo ya R Kelly.
Kweli

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Toka lini mondi akawa mwalim wa kiba ..afu acheni unafki wa kijinga mnataka aige anavyofanya mondi ili mje fungus uzi tena kua kiba kaishiwa anaanza kuiga..maana hata konde boy show zake za USA mnasema kamuiga mondi.yaani hamkosi kasoro
Abadilike

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana show ya uwanja uhuru juni 29 kairisha, akahaidi Nov 7 kupiga show uwanja wa uhuru kwa siku tatu akahairisha, Konde in da club mikoa zaidi 15 kapiga mkoa mmoja kwengine kahairisha, show Ethiopia mwezi wa tano kahairisha, sasa anatour ya ulaya huko nchi zaido ya ishirini na nchi tano za West Africa tunamsubiria labda hizi anaweza hasi ahirishe.
LABDA KAMA NI FESTIVAL ILA KAMA NI SHOW KAMA SHOW HAWEZ FANYA NAMJUANYULE NCHUMALI
 
Hazina impact kwake are you serious..? Kwani Alikiba amebadilisha au Alisha wahi kubadilisha melody..?

Bongo hakuna msanii Anayeweza kumfikia Rayvanny kwenye upande wa international collabo kama hauamini kaangalie Rayvanny ft Mayorkoun ucompare na hii utanambia

international collabo
 
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.

Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.

Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na Mayorkoun honestly speaking [emoji23]

inauma sana

Kiba anawakimbiza mshakuwa wapole
 
Back
Top Bottom