Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.

Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.

Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.

Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!

When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.

Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.

Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.

Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
 
sikutaka kuchangia, ila imenibidi tu niseme we jamaa una akili sana, una ufahamu wa unachokisema na sio mnafiki!
 
Huyo mleta mada hawez jua alikuwa bado kwao kijijin nyimbo anazisikilizia kwenye radio za mbao.


Si unaona bado anatumia TECNO anajiona mjanja
 
Utakipata unachokitafta hivi karibuni we endelea kumwangia KIBA
 
sikutaka kuchangia, ila imenibidi tu niseme we jamaa una akili sana, una ufahamu wa unachokisema na sio mnafiki!
Acha utoto kuimba kwa project means alitafutwa ndio ujigambe, akona aliimba nae Nini? Nataka unionyeshe Alikiba ft r Kelly na sio project [emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Qwy
Kwani kwaya zina shida gani? Au kwa sababu hujasikia nipake wese, kwa mpalange, sodoma, n.k
 
Haya ni mapenzi sio analysis
 
Tafuta simu nzuri basi, unaanzisha uzi kwa Tecno halafu wachangiaji wanacomment kwa Iphone na Samsung huoni aibu?
[emoji3][emoji3][emoji3]

Kajamaa ukute ni wale vijana wanatumia tecno zenye vioo vyenye rangi ya black isiyong'aa. Halafu vimepasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…