Washazoea nyimbo zao zinazohamasisha ungese . Nilikuwa namsikiliza Kiba kwenye moja ya interview nilipenda aliposema yeye huwa anatunga wimbo/nyimbo ambayo hata make mzazi ataweza kuisikiliza.Kwani kwaya zina shida gani? Au kwa sababu hujasikia nipake wese, kwa mpalange, sodoma, n.k
Wewe unajua muziki. Good analysis.Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.
Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.
Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.
Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!
When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.
Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.
Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.
Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
Washazoea nyimbo zao zinazohamasisha ungese . Nilikuwa namsikiliza Kiba kwenye moja ya interview nilipenda aliposema yeye huwa anatunga wimbo/nyimbo ambayo hata make mzazi ataweza kuisikiliza.
Sasa kwa kauli hiyo ukiona wewe humuelewi kiba maana yake akatafute mwanamuziki anayemuelewa atakayeimba nyimbo zao za kishenzi.
Hiyo ya R Kelly itoe, ilikuwa ni project tu kama Coke studio na wakakutanishwa wanamuziki wengi wa Kiafrika na kwa Tanzania ndiyo alichaguliwa Kiba lakini unavyoielezea ni kama R Kelly na Kiba walikubalia wakaandaa wimbo wa pamoja. That shit never happened.Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.
Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.
Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.
Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!
When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.
Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.
Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.
Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
Kule usafini amebak Mbosso na zuchu tuu pamoja na boss wao anayejifia , wengine wote ni magarasa tupuToka lini mondi akawa mwalim wa kiba ..afu acheni unafki wa kijinga mnataka aige anavyofanya mondi ili mje fungus uzi tena kua kiba kaishiwa anaanza kuiga..maana hata konde boy show zake za USA mnasema kamuiga mondi.yaani hamkosi kasoro
Hizi kauli tokea enzi hizo tunazisikia.Kule usafini amebak Mbosso na zuchu tuu pamoja na boss wao anayejifia , wengine wote ni magarasa tupu
Kwa mtazamo huu hakuna kibaya wala kizuri duniani..!!Hebu zipeni muda nyimbo, pendeni kuuacha muda uongee kwani usichokipenda wewe usidhani kila mtu atakuwa hakipendi.
Una wivu wa kikeTuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.
Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.
Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na Mayorkoun honestly speaking [emoji23]
Labda kwako,ila mtizamo wangu mm nipo tofauti nawe na amini katika na mtizamo wa mtu mmoja hauwezi ukawa wa watu wote.Kwa mtazamo huu hakuna kibaya wala kizuri duniani..!!
Namkubali kondeboy ila kwenye kupost show huwa anapost ila ukifika wakati wa show hazifanyikiToka lini mondi akawa mwalim wa kiba ..afu acheni unafki wa kijinga mnataka aige anavyofanya mondi ili mje fungus uzi tena kua kiba kaishiwa anaanza kuiga..maana hata konde boy show zake za USA mnasema kamuiga mondi.yaani hamkosi kasoro
Mwaka jana show ya uwanja uhuru juni 29 kairisha, akahaidi Nov 7 kupiga show uwanja wa uhuru kwa siku tatu akahairisha, Konde in da club mikoa zaidi 15 kapiga mkoa mmoja kwengine kahairisha, show Ethiopia mwezi wa tano kahairisha, sasa anatour ya ulaya huko nchi zaido ya ishirini na nchi tano za West Africa tunamsubiria labda hizi anaweza hasi ahirishe.Namkubali kondeboy ila kwenye kupost show huwa anapost ila ukifika wakati wa show hazifanyiki
Punguza makasilikoKwani kwaya zina shida gani? Au kwa sababu hujasikia nipake wese, kwa mpalange, sodoma, n.k
LalaaTafuta simu nzuri basi, unaanzisha uzi kwa Tecno halafu wachangiaji wanacomment kwa Iphone na Samsung huoni aibu?