Wewe huwa unajishusha kwa Munngu tu?...acha kujifany kichaa wewe....Ajishuje akamlambe miguu au?????? Acheni kumuona huyo mwenzenu kama Mungu wenu basi... Kiba ndo kamkosea huyo Mungu wenu au.... Sema wote wajishushe wasameheane.
Mfano GK amewatoa wangapi pale ECT Na bado wanampa heshima yake pamajo Na kwamba wametoboza zaidi yake.
katika wabongo wa4 mmoja ni kichaa. tukiwaweka kiba na meneja wake, diamond na meneja wake mmoja wao lazima kichaa ndiyo maana haka kabifu hakaishi.
kuna dalili mkuu.hebu isaidie Polisi, hapa nan unamuona ni kichaaa.
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we nae chiz eee,ajishushe kwa lipi? huon bakora anazomchapa kiba ilhal kiba alitangulia kwenye gemu b4 mondi? Kiba piga goti la sivyo yatakukuta ya Rey kwa kanumba
Ukoloni mambo leo huuwe nae chiz eee,ajishushe kwa lipi? huon bakora anazomchapa kiba ilhal kiba alitangulia kwenye gemu b4 mondi? Kiba piga goti la sivyo yatakukuta ya Rey kwa kanumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katika wabongo wa4 mmoja ni kichaa. tukiwaweka kiba na meneja wake, diamond na meneja wake mmoja wao lazima kichaa ndiyo maana haka kabifu hakaishi.
Only the stupid mind shall speak the similar words you write just beseeching for sympathy ..Ile research itawahusu wengi sana natamani wangongeza kila wa TZ wanne watatu ni vichaa. Maana haiwezekani mtu analeta uzi usio na kichwa wala miguu hana utafiti wa kutosha na anachokiongea ila hisia tu zinamtuma kufanya hivo anajitutumua kuandika vitu vyenye upungufu wa ujumi na itifaki.