Alikiba kwani ukijishusha kwa Diamond utakufa?..

Alikiba kwani ukijishusha kwa Diamond utakufa?..

Mnajadili watu wako kazini fanyeni kazi zenu
 
katika wabongo wa4 mmoja ni kichaa. tukiwaweka kiba na meneja wake, diamond na meneja wake mmoja wao lazima kichaa ndiyo maana haka kabifu hakaishi.
Ndio maana kwenye Avator yako kichaa amekimbia na kuwaacha hao watatu walio timamu wanamshambulia kwa[emoji90]. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ili kuikuza tasnia ya muziki hawa watu ni vyema wakashirikiana bila ya vinyongo visivyo na sababu.
Ushindani ndio unamfanya mwinyi Kibar naye avume vinginevyo habari yake itakwisha.
 
Tambua mtu mzima hawazi kusema neno ukalichukulia juu juu yy ndo anajua akisemacho cc ni km tulo nje ya gereza so walo gerezan hujua yanayoendelea ndani kwann kiba awe anaongea kl ck ???
 
Sio kujishusha wangeekwa meza moja ili watoe tofaut zao ili mzki wa Tz usongee mbele na sio bifu kusonga mbele.
 
Sawa lakini sio kama mtoa mada kumfanyaja kiba kuwa mkosaji. Wapatane sio eti kiba ajishushe... Wajishushe wote. Dini moja na wote wametokea mkoa mmoja kama sikosei. ........
Wasameheane ila sio kwasababu ni wa dini au mkoa mmoja...NO!!!

Kwasababu wote ni WATANZANIA
 
Back
Top Bottom