Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #21
Sio goat ni G. O. A. T(greatest of all the time)Me nimekubali mkuu kwani diamond si ndo GOAT..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio goat ni G. O. A. T(greatest of all the time)Me nimekubali mkuu kwani diamond si ndo GOAT..
kwa mwaka tungo 2 lazime ashushe tuJamani habarini Wana jamvi
Kiukweli sina uteam wowote ila ni mzee wa fact, kutokana na Jana kwenye uzinduzi wa kampeni mkoani Mbeya hii imejidhihirisha wazi kuwa Alikiba amezeeka na amepitwa na wakati.
Jana ndo nimeamini kuwa na makeke yake yote ya kujigamba kuwa anaenda kupeform ule utopolo wake wa Mediocre kwa mara ya kwanza mbeya akazania na mbeya ni mamediocre Kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787],jamaa hajapata hata nyomi na kumiliki jukwaa hawezi kabisa na Mwisho wa siku hakawa anatufokea wanambeya huku tunamchora tuu.
Poleni sana mashabiki wa alikiba ila ndo Basi tena,kila Zama na mda wake maana Diamond the G.O.A.T yeye alikuwa anazindua Wasafifm mbeya ,huku mwingine akizindua limediocre lake na Wana mbeya kweli Waka mamediocre.
N.B: RAYVANNY NDO ALIKUWA MAN OF THE MATCH.
Kama Mimi ni chawa, wewe ni kunguni, kiroboto na ruba wa kibamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chawa wa mondi
Fact Diamond platinumz ni Moto mwinginekwa mwaka tungo 2 lazime ashushe tu
Huyu mwamba achongewe sanamuMondi bin laden
Eti ni taraabu stahili Mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kani midinyoka ndio vinini venyewe hivo
ukiachana na hizo tungo 2 per year hafanyi collabo hatrend kwenye kiki wewe unadhani ata shine vip hapo inapo kuja mbele ya umati? ndio hivyo anaonekana sawa na harmorapa tuFact Diamond platinumz ni Moto mwingine
Ahaaaaaaaaah inaonekana unachuki ya juu, sasa Kama WCB ni mapimbi wewe je si ndo pimbi square [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo 🖕mwandiko, mbona ni Kama vile wa mtu mmoja😳?Acha kuandika na kujijibu mwenyewe.Kigoma Independent Huyo Ni mshabiki wa CHADEMA so anachukia wasanii kufanya kampeni za CCM
Mac Alpho mzee baba mwandiko mmoja uko vipi?Huo 🖕mwandiko, mbona ni Kama vile wa mtu mmoja😳?Acha kuandika na kujijibu mwenyewe.
Nakubaliana na wewe Mond alifanya vizur kwenye hiyo show.Jamaa anajua kutawala jukwaa👏👏
Ukweli hakuna wote mpaka siku nione mtu anapiga Live music na sauti safi nitampa heshima ila hii ya CD hapana maana hata mimi kama napesa naweza kuimba studio sauti mbaya inatengenezwa tu halafu unaimba nyimbo ya dakika 3 hata wiki unarudia vipande mpaka ikae sawa itoke na hata ikitoka kama bado vile.Wasanii wa Tanzania ni bulshit wote isipokuwa Roma mkatoliki
Mwenzako kumtaja Roma kwenye aspect yake ya itikadi ya kisiasa kwamba hashiriki kwenye kampeni za CCM Kama wasanii wengine.Wewe umeongea tofauti kabisa na alichozungumza yeye inaonesha ukumuelewaUkweli hakuna wote mpaka siku nione mtu anapiga Live music na sauti safi nitampa heshima ila hii ya CD hapana maana hata mimi kama napesa naweza kuimba studio sauti mbaya inatengenezwa tu halafu unaimba nyimbo ya dakika 3 hata wiki unarudia vipande mpaka ikae sawa itoke na hata ikitoka kama bado vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani dunia hii ni yetu...?
Ukweli hakuna wote mpaka siku nione mtu anapiga Live music na sauti safi nitampa heshima ila hii ya CD hapana maana hata mimi kama napesa naweza kuimba studio sauti mbaya inatengenezwa tu halafu unaimba nyimbo ya dakika 3 hata wiki unarudia vipande mpaka ikae sawa itoke na hata ikitoka kama bado vile.
Hata kuongea kwako tu inainyesha wewe ni timu DaiJamani habarini Wana jamvi
Kiukweli sina uteam wowote ila ni mzee wa fact, kutokana na Jana kwenye uzinduzi wa kampeni mkoani Mbeya hii imejidhihirisha wazi kuwa Alikiba amezeeka na amepitwa na wakati.
Jana ndo nimeamini kuwa na makeke yake yote ya kujigamba kuwa anaenda kupeform ule utopolo wake wa Mediocre kwa mara ya kwanza mbeya akazania na mbeya ni mamediocre Kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787],jamaa hajapata hata nyomi na kumiliki jukwaa hawezi kabisa na Mwisho wa siku hakawa anatufokea wanambeya huku tunamchora tuu.
Poleni sana mashabiki wa alikiba ila ndo Basi tena,kila Zama na mda wake maana Diamond the G.O.A.T yeye alikuwa anazindua Wasafifm mbeya ,huku mwingine akizindua limediocre lake na Wana mbeya kweli Waka mamediocre.
N.B: RAYVANNY NDO ALIKUWA MAN OF THE MATCH.
Nimemuelewa yeye kasema perfomance haikuwa kali watu hawakuitika hapo ina maana tumeongelea usanii ila kama alikuwa na maana ya siasa basi sio sawa maana Roma anaweza kuwa mzuri kwa chadema lakini sio kwa CCM na kule hivyo hivyo. Japo kuwa uhalisia sio jambo zuri wasanii kufanya kampeni sasa sielewi ni mapenzi kweli au ndio kuogopa matokeo wakikataa.Mwenzako kumtaja Roma kwenye aspect yake ya itikadi ya kisiasa kwamba hashiriki kwenye kampeni za CCM Kama wasanii wengine.Wewe umeongea tofauti kabisa na alichozungumza yeye inaonesha ukumuelewa
Namaanisha uandishi wa huyo anaejiita innocent dependent na Kigoma Independent hauna tofauti.Mac Alpho mzee baba mwandiko mmoja uko vipi?
Duh! Unamaanisha uandishi au mawazo?Namaanisha uandishi wa huyo anaejiita innocent dependent na Kigoma Independent hauna tofauti.