Alikiba kweli umeisha maana watu wa Mbeya wamekukataa

kwa mwaka tungo 2 lazime ashushe tu
 
Huo 🖕mwandiko, mbona ni Kama vile wa mtu mmoja😳?Acha kuandika na kujijibu mwenyewe.
Nakubaliana na wewe Mond alifanya vizur kwenye hiyo show.Jamaa anajua kutawala jukwaa👏👏
Mac Alpho mzee baba mwandiko mmoja uko vipi?
 
Wasanii wa Tanzania ni bulshit wote isipokuwa Roma mkatoliki
Ukweli hakuna wote mpaka siku nione mtu anapiga Live music na sauti safi nitampa heshima ila hii ya CD hapana maana hata mimi kama napesa naweza kuimba studio sauti mbaya inatengenezwa tu halafu unaimba nyimbo ya dakika 3 hata wiki unarudia vipande mpaka ikae sawa itoke na hata ikitoka kama bado vile.
 
Mwenzako kumtaja Roma kwenye aspect yake ya itikadi ya kisiasa kwamba hashiriki kwenye kampeni za CCM Kama wasanii wengine.Wewe umeongea tofauti kabisa na alichozungumza yeye inaonesha ukumuelewa
 

Kiba live anaimba bana, setup ya live music unajua gharama zake? Kwenye open court na ni mkutano wa kampeni?

Wajuaji bana

Mfuatilie kiba, kisha mfananishe na *mediocre*
 
Hata kuongea kwako tu inainyesha wewe ni timu Dai
 
Mwenzako kumtaja Roma kwenye aspect yake ya itikadi ya kisiasa kwamba hashiriki kwenye kampeni za CCM Kama wasanii wengine.Wewe umeongea tofauti kabisa na alichozungumza yeye inaonesha ukumuelewa
Nimemuelewa yeye kasema perfomance haikuwa kali watu hawakuitika hapo ina maana tumeongelea usanii ila kama alikuwa na maana ya siasa basi sio sawa maana Roma anaweza kuwa mzuri kwa chadema lakini sio kwa CCM na kule hivyo hivyo. Japo kuwa uhalisia sio jambo zuri wasanii kufanya kampeni sasa sielewi ni mapenzi kweli au ndio kuogopa matokeo wakikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…