Mkuu dua za namna hii huelekezwa upande wa shetani kwani ukikosea na kuzipeleka kwa Mungu utashangaa mtu anazidi kupaa kama vile Bashte alivyomwombea mabaya Piere na kupeleka faili kwa Mungu matokeo yake Piere sasa anakula bata kuliko yeye....mimi sifanyi makosa hayo.