Kama sio mpenzi wa chama chochote kitu gani kinakufanya ukasilike kwa Wasanii kuwafanyia kampeni CCM?Mie sio mpenzi wa chama chochote lakini namchukia sana kwa sababu anashiriki kuwadanganya waTz katika uchaguzi huu na namwombea baada ya uchaguzi huuu kupita anyong'onyee kama ua lililoota Jangwani au hata afikie hatua ya omba omba kama alivyokuwa mzee Matonya