Alikiba kweli umeisha maana watu wa Mbeya wamekukataa

Alikiba kweli umeisha maana watu wa Mbeya wamekukataa

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
Jamani habarini Wana jamvi

Kiukweli sina uteam wowote ila ni mzee wa fact, kutokana na Jana kwenye uzinduzi wa kampeni mkoani Mbeya hii imejidhihirisha wazi kuwa Alikiba amezeeka na amepitwa na wakati.

Jana ndo nimeamini kuwa na makeke yake yote ya kujigamba kuwa anaenda kupeform ule utopolo wake wa Mediocre kwa mara ya kwanza mbeya akazania na mbeya ni mamediocre Kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787],jamaa hajapata hata nyomi na kumiliki jukwaa hawezi kabisa na Mwisho wa siku hakawa anatufokea wanambeya huku tunamchora tuu.

Poleni sana mashabiki wa alikiba ila ndo Basi tena,kila Zama na mda wake maana Diamond the G.O.A.T yeye alikuwa anazindua Wasafifm mbeya ,huku mwingine akizindua limediocre lake na Wana mbeya kweli Waka mamediocre.

N.B: RAYVANNY NDO ALIKUWA MAN OF THE MATCH.
 
Mnamfanya kitu mabaya mtoto wa watu mjue...... sio vizuri ivoo 🙂 🙂 🙂
 
Ndio magap hayo...kiba na Diamond ni level mbil tofaut...kiba yupo kweny level yake na Diamond yuko kweny level yake

Ukianza compare hawa watu wawil kuna mmoja ataanza tembelea level ya mwenzie..
#wasafifm
#mediocre
[emoji3]
 
Ndio magap hayo...kiba na Diamond ni level mbil tofaut...kiba yupo kweny level yake na Diamond yuko kweny level yake

Ukianza compare hawa watu wawil kuna mmoja ataanza tembelea level ya mwenzie..
#wasafifm
#mediocre
[emoji3]


Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Fact DIAMOND NI CERTIFIED G O. A. T HAPA BONGO[emoji120][emoji123]
 
Back
Top Bottom