NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ally Kiba uwenda humu yumo kwa fake id huu ujembe keshaupata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Ally Kiba uwenda humu yumo kwa fake id huu ujembe keshaupata.
Fact kiba ni utopoloukiachana na hizo tungo 2 per year hafanyi collabo hatrend kwenye kiki wewe unadhani ata shine vip hapo inapo kuja mbele ya umati? ndio hivyo anaonekana sawa na harmorapa tu
Daaaaaah mbona muandiko tofauti, au umesahau muandiko wako na wangu pia umefanana kwa hiyo ni mtu mmoja..?Huo [emoji867]mwandiko, mbona ni Kama vile wa mtu mmoja[emoji15]?Acha kuandika na kujijibu mwenyewe.
Nakubaliana na wewe Mond alifanya vizur kwenye hiyo show.Jamaa anajua kutawala jukwaa[emoji122][emoji122]
Kaimbe Kama ni rahisi , unazania mziki ni mat.. o kila mtu anayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukweli hakuna wote mpaka siku nione mtu anapiga Live music na sauti safi nitampa heshima ila hii ya CD hapana maana hata mimi kama napesa naweza kuimba studio sauti mbaya inatengenezwa tu halafu unaimba nyimbo ya dakika 3 hata wiki unarudia vipande mpaka ikae sawa itoke na hata ikitoka kama bado vile.
Kiba mwenyewe ni mediocre afu tumfananishe na mediocre mbona unalikoroga na kulinywa mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiba live anaimba bana, setup ya live music unajua gharama zake? Kwenye open court na ni mkutano wa kampeni?
Wajuaji bana
Mfuatilie kiba, kisha mfananishe na *mediocre*
Nimeshasema Mimi siko team yeyote, Mimi ni mpenda mziki mzuri na ninasapoti msanii/mwanamziki yeyote.Hata kuongea kwako tu inainyesha wewe ni timu Dai
Daaaaaah kaka tutake radhi aseeeeeeeNamaanisha uandishi wa huyo anaejiita innocent dependent na Kigoma Independent hauna tofauti.
Sasa nani shabiki wa WCBHakuna siku shabiki wa dabiliyusibii atamkubali Ali.
Watu wengine hata kuwajibu basi tu, kwani nilikwambia mimi mwanamziki au najuwa kuimba? ukiwa mchazaji mpira basi ujuwe kucheza sio kuwaambia washabiki njooni nyinyi mcheze kama rahisi. ukitaka watu waje wakuone unaimba basi ujuwe kuimba na hayo matusi unatosema sijui unadhani Mat.. kila mtu anayo hapana sio kila mtu anayo yanazidiana uzuri pia na shape......Kaimbe Kama ni rahisi , unazania mziki ni mat.. o kila mtu anayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mleta mada inawezekana kuwa hata hela ya kula unagongea kwa wafagizi wa ofisi ya diamond. Wewe andika uwezavyo kumdiss ally kiba lakini mwenzako tayari ni celebrity hivyo usitegemee post zako zitamshusha.Jamani habarini Wana jamvi
Kiukweli sina uteam wowote ila ni mzee wa fact, kutokana na Jana kwenye uzinduzi wa kampeni mkoani Mbeya hii imejidhihirisha wazi kuwa Alikiba amezeeka na amepitwa na wakati.
Jana ndo nimeamini kuwa na makeke yake yote ya kujigamba kuwa anaenda kupeform ule utopolo wake wa Mediocre kwa mara ya kwanza mbeya akazania na mbeya ni mamediocre Kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787],jamaa hajapata hata nyomi na kumiliki jukwaa hawezi kabisa na Mwisho wa siku hakawa anatufokea wanambeya huku tunamchora tuu.
Poleni sana mashabiki wa alikiba ila ndo Basi tena,kila Zama na mda wake maana Diamond the G.O.A.T yeye alikuwa anazindua Wasafifm mbeya ,huku mwingine akizindua limediocre lake na Wana mbeya kweli Waka mamediocre.
N.B: RAYVANNY NDO ALIKUWA MAN OF THE MATCH.
😂😂😂 innocent dependent , kwahiyo tukikwambia ukweli tunakuwa wakurupukaji?Muache huyo anakurupuka tatizo
Mzee mbona unanitag me wakati mazungumzo yenu wewe na Kigoma Independent mzee mbona unachanganya mafaili😂😂😂 innocent dependent , kwahiyo tukikwambia ukweli tunakuwa wakurupukaji?
Kigoma Independent Huyo Ni mshabiki wa CHADEMA so anachukia wasanii kufanya kampeni za CCM
😂😂😂 Kwahiyo kwasababu hatoi support kwa Lissu,ndo sababu ya wewe kumuombea mabaya?Mie sio mpenzi wa chama chochote lakini namchukia sana kwa sababu anashiriki kuwadanganya waTz katika uchaguzi huu na namwombea baada ya uchaguzi huuu kupita anyong'onyee kama ua lililoota Jangwani au hata afikie hatua ya omba omba kama alivyokuwa mzee Matonya
😂😂😂 Kwahiyo kwasababu hatoi support kwa Lissu,ndo sababu ya wewe kumuombea mabaya?
Haya, hizo dua zako unazielekeza kwa MUNGU au Shetani?