Alikiba kwenye ndoano ya Mange

Alikiba kwenye ndoano ya Mange

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona ngoma ya kiba haina mvuto huo.

Malkia wa mitandao ya kijamii Mange Kimambi ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake juu ya ngoma hiyo ya kiba na ameoneshwa kuikubali sana ile sana. Katika comment zake juu ya kuipenda ngoma hiyo akaamua kumchokoza Kiba kwenye issues za relationship kwa kumpost mlimbwende wa Kiba wa enzi hizo known as Jokate.

Mange kampamba Jokote ile mbaya na kumsikitia King Kiba kwa kutemana na Jokate, cjui alimaanisha nini ndo tuseme Kiba arudi kwa mtoto? Na kama atashindwa kumrudia Jokate bas Mange hadhani kuwa Kiba kama atapata lady like Jokate labda Mange Mwenyewe
Je Kiba atachagua uekekeo upi?
 
Mshindani wa adui yako hawezi kuwa adui yako bali atakuwa mshirika wako
 
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona ngoma ya kiba haina mvuto huo.

Malkia wa mitandao ya kijamii Mange kamambi ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake juu ya ngoma hiyo ya kiba na ameoneshwa kuikubali sana ile sana. Katika comment zake juu ya kuipenda ngoma hiyo akaamua kumchokoza Kiba kweny issues za relationship kwa kumpost mlimbwende wa Kiba wa enzi hizo known as Jokate. Mange kampamba Jokote ile mbaya na kumsikitia King Kiba kwa kutemana na Jokate, cjui alimaanisha nini ndo tuseme Kiba arudi kwa mtoto? Na kama atashindwa kumrudia Jokate bas Mange hadhani kua Kiba kama atapata lady like Jokate labda Mange Mwenyewe
Je Kiba atachagua uekekeo upi?

et al
Jokate na Kiba Zilipendwa.
 
mange hana lolote anafanya ivyo kumkomoa diamond tokea diamond alivyoachana na wema ndo kivhefu chefu kilipoanzia + hamisa uwiii
ila anamsaidia uyu nyau coz hana mtu wakumbackup zaidi ya uyo ommy
 
mange hana lolote anafanya ivyo kumkomoa diamond tokea diamond alivyoachana na wema ndo kivhefu chefu kilipoanzia + hamisa uwiii
ila anamsaidia uyu nyau coz hana mtu wakumbackup zaidi ya uyo ommy
Sio inshu ya diamond kumsapoti Bashite kweli?
 
Back
Top Bottom