Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 742
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona ngoma ya kiba haina mvuto huo.
Malkia wa mitandao ya kijamii Mange Kimambi ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake juu ya ngoma hiyo ya kiba na ameoneshwa kuikubali sana ile sana. Katika comment zake juu ya kuipenda ngoma hiyo akaamua kumchokoza Kiba kwenye issues za relationship kwa kumpost mlimbwende wa Kiba wa enzi hizo known as Jokate.
Mange kampamba Jokote ile mbaya na kumsikitia King Kiba kwa kutemana na Jokate, cjui alimaanisha nini ndo tuseme Kiba arudi kwa mtoto? Na kama atashindwa kumrudia Jokate bas Mange hadhani kuwa Kiba kama atapata lady like Jokate labda Mange Mwenyewe
Je Kiba atachagua uekekeo upi?