Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

Hivi kwa nini mnapenda kudanganya ulimwengu?
Kama hajasema kitu iweje mleta mada utuaminishe huo usafir ni wake?
Yeye mwenyew alisema hapendi kujionyesha nyie mnamuonyesha, aliwahi kutembelea nyumba moja nzuri akapga na picha washabiki wake wenye akili finyu mlituaminisha yake kisa anaonekana kwenye hiyo nyumba mara kwa mara, sasa mnatuletea picha ya ndege mnataka kutuaminisha yake, lakini mwenyewe hapendu kujionyesha nahisi imejipost tu hiyo picha.
 
Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.

Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Nifah: unampenda huyu kijana kama nn vile! Big up 2 u!
 
Ni ushabiki tu mkuu,namkubali hivyo najitoa kwa ajili yake.

Yupo nimpendaye zaidi yake,tena huyo ndiye hatari kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thanks
Mmmmmm!!kama ni mahaba hayo ni mahaba nini?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…