mnyamweziog
Senior Member
- Nov 7, 2016
- 169
- 251
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is Five Hotel....... Lima Echo Oscar
Kupanda ndege kwake siyo show off ulitegemea aoande NAJIMUNISA umepwiyanga kweli ww.Si ndio huyu alisema hapendi show off
Nifah: unampenda huyu kijana kama nn vile! Big up 2 u!Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.
Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Fungua hii hapa chiniHuyu ambaye hana hata kibanda cha kulaza mbavu, anabanana na dada zake kwa mama K/koo ndo anunue ndege?
Watu wanamjua aliyeko nyuma ya ID kuliko yeye anavyojijua.jf ni zaidi ya kijiweni
Wala si kidogo heeeWatu wanamjua aliyeko nyuma ya ID kuliko yeye anavyojijua.
Ajabu sana.
Shukraan mkuu [emoji120]Nifah nakukubali sana
Ni ushabiki tu mkuu,namkubali hivyo najitoa kwa ajili yake.Wallahi Nifah kwa Kiba, mmhh sijapata kuona
Yupo nimpendaye zaidi yake,tena huyo ndiye hatari kabisa.Nifah: unampenda huyu kijana kama nn vile! Big up 2 u!
Mmmmmm!!kama ni mahaba hayo ni mahaba nini?..Ni ushabiki tu mkuu,namkubali hivyo najitoa kwa ajili yake.
Yupo nimpendaye zaidi yake,tena huyo ndiye hatari kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thanks
povu la nini mkuu?Kupanda ndege kwake siyo show off ulitegemea aoande NAJIMUNISA umepwiyanga kweli ww.
Dah, umepiga code safi kabisa.. NmependaThis is Five Hotel....... Lima Echo Oscar