Alikiba mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako, Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini

ha ha ha
 
sasa hivyo respect yako kwa agness inasaidia nn wakati ameshakufa ?
 
Nipo chini ya tuliagana vipi njiwaa Jana Mimi na wewe tulipokutananaaa.....
 
Post hii na ile ya Ommy dimpoz... tumeshakuelewa na tumekusamehe tayari...
 
sasa hivyo respect yako kwa agness inasaidia nn wakati ameshakufa ?

haisaidii kitu. Lakini muenekanwo wako kwangu umebadilika sana ukilinganisha na nilivokua namchukulia mwanzo.
vovote itakavokua kuwasaidia wazee wako ni jambo muhimu.
 
haisaidii kitu. Lakini muenekanwo wako kwangu umebadilika sana ukilinganisha na nilivokua namchukulia mwanzo.
vovote itakavokua kuwasaidia wazee wako ni jambo muhimu.
mzazi kwanza anatakiwa msaidie mtoto kufikia malengo yake na sio kumtelekeza , kama alivyofanya baba yake diamond , sasa cha ajabu unamuona diamond mkosaji badala ya baba yake ?
 
Najaribu kufikiri jinsi mDanganyika anavyoweza kuufahamu undani wa mtu mwingine kuliko muhusika mwenyewe.....

Ungesema Wema, Mobeto na wafananao....wanamuhitaji Domo zaidi kuliko yeye anavyowahitaji, ningeelewa.....!
Huwezi kuelewa kwa sababu hutaki kuelewa
 
Watakwambia Mofaya
 
Watakwambia Mofaya
Kwavile hawafahamu kwamba mtu anaweza kumilikishwa hata 5% ya shares or less na hapo anakuwa shareholder!!

Kwanza kwa mtu kama Kiba kachelewa sana!

Kv hakuwa na bahati ya kupata endorsement kwenye makampuni makubwa kama ilivyo mwenzake; tangu zamani angeweza kabisa kupata shareholding kwenye makampuni/biashara zenye market share ndogo au zisizo na soko pande za East Africa ili hatimae atumie influence yake kukuza au kuibua soko jipya kwa bidhaa husika!
 
Siku kiba akipatana na mondi ndo utakua mwisho wake rasmi,sa hivi wacha haters wa mondi waendelee kukimbilia huko kujifariji na kiba awapige hela kwanza
hii dhana mnaitoa wapii..hiiiiii(JPM voice)jamaa yenu kanunua beat ya Kubanda ili amdiss King...mwambieni domo apambane na hali yake... kula Karanga shushia mofaya bariidii...acha wapige hela watembelee Lamborghini 0 km sio vyuma chakavu wanavyotumia sasa
 
Ndo excuse za kutomlea mtoto, mi hata rafiki tu nikiwa natoboa ukawa unaniletea bifu utaisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…