Alikiba mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako, Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini

Alikiba mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako, Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini

mzazi kwanza anatakiwa msaidie mtoto kufikia malengo yake na sio kumtelekeza , kama alivyofanya baba yake diamond , sasa cha ajabu unamuona diamond mkosaji badala ya baba yake ?

sijasema baba yake hajafanya makosa. Lakini na yeye anafanya makosa.
makosa hayalipiziwi makosa. na baba ni bab tu atakavokua.
 
Back
Top Bottom