Alikiba: Nampenda sana Diva tena sana Tu

Alikiba: Nampenda sana Diva tena sana Tu

DivaDaily

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
18
Reaction score
15
akifunguka mahaba yake kwa mtangazaji wa Cloudsfm alikiba amekiri kumpenda sana Diva na kuongezea amekuwa akimsapoti kwa muda mrefu sana ni mtu wake wa nguvu, tizama video hio apa.

Ikumbukwe miaka 7 au 6 iliopita wawili hao waliwahi ku share kiss (denda) live on stage ndani ya Billcanas na Diva kukiri ya Kuwa Alikiba is a good kisser.

Ona video hii ya mwaka 2020 Alikiba akizungumzia mahaba yake kwa Mtangazaji huyo wa Cloudsfm ambaye wengi hudai wana mahusiano ya muda mrefu ya kimyakimya.

Na ndio chanzo cha kuwaita watoto wa kings music watoto wake na watoto hao kumuita mama lakini pia inasemekana watu hao ni washikaji sana tena wa karibu sana na ndio maana diva huenda mbele kupigana kufa kwa Alikiba




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
..
IMG_20200115_100014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu jf tuna punguani mmoja tu, anaitwa DivaDaily mtangazaji wa Mawingu fm kipindi cha mahaba yaliyomshinda

Ko tusimshangae kwa kuwa na ubongo ulojaa makamasi (lugha nyepesi ni mtindio wa ubongo)... Nawasihi tusimtukane maana huu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao
🤣🤣🤣huyu Mal*ya sijawahi muelewa anataka nn
 
Mbona Bakhressa hajui kuongea na waandishi wa Habari na fedha zote hizo
 
Back
Top Bottom