DivaDaily
Member
- Oct 2, 2015
- 18
- 15
akifunguka mahaba yake kwa mtangazaji wa Cloudsfm alikiba amekiri kumpenda sana Diva na kuongezea amekuwa akimsapoti kwa muda mrefu sana ni mtu wake wa nguvu, tizama video hio apa.
Ikumbukwe miaka 7 au 6 iliopita wawili hao waliwahi ku share kiss (denda) live on stage ndani ya Billcanas na Diva kukiri ya Kuwa Alikiba is a good kisser.
Ona video hii ya mwaka 2020 Alikiba akizungumzia mahaba yake kwa Mtangazaji huyo wa Cloudsfm ambaye wengi hudai wana mahusiano ya muda mrefu ya kimyakimya.
Na ndio chanzo cha kuwaita watoto wa kings music watoto wake na watoto hao kumuita mama lakini pia inasemekana watu hao ni washikaji sana tena wa karibu sana na ndio maana diva huenda mbele kupigana kufa kwa Alikiba
Sent from my iPhone using JamiiForums