Alikiba - next door Arena

izo comment zinathibitisha mashabiki wa diamond ni machoko
while wa kiba ni watu wanaojielewa!!!
ok show ya jana ilkua nzuri yani classic ticket za VIP ziliisha kabla ya show + watu walkua wengi pia hakuna aliejutia jana nmeona tofauti ya entertainer na mwanamuziki
big up your self ๐Ÿ‘‘ kiba
mziki wa kiba sio kwa kila mtu unawatu wake na ndio sisi NO kiki just mziki mzuri
upande ule endeleeni kubebana kwenye vigari vya mizigo na kutukana ila ๐ŸŽถ wa kiba sio kwa ajili ya watu wote!!!
 
Show kweli ilibamba lakini sio kwa hiyo idadi ya watu.... kwenye live anajitahid... lakin hawezi mfikia mbossokhan kirungi...
Ukiwa na idadi ndogo ya watu ni lazima shangwe utazipata tu sababu wanakuwa wamekuja wale wanaokuelewa tu... lakin show za ule upande wa pili huingia hata wasio mashabiki wao ili waangalie namna maangamizi yanavyofanywa
 
Am Kiba fan, ila sijaelewa kwa nini aliamua kufanya show kubwa namna ile kwenye eneo dogo/la kawaida? Nafikiri kwa wakati mwingine, eneo lipewe kipaumbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ