xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
izo comment zinathibitisha mashabiki wa diamond ni machoko
while wa kiba ni watu wanaojielewa!!!
ok show ya jana ilkua nzuri yani classic ticket za VIP ziliisha kabla ya show + watu walkua wengi pia hakuna aliejutia jana nmeona tofauti ya entertainer na mwanamuziki
big up your self đź‘‘ kiba
mziki wa kiba sio kwa kila mtu unawatu wake na ndio sisi NO kiki just mziki mzuri
upande ule endeleeni kubebana kwenye vigari vya mizigo na kutukana ila 🎶 wa kiba sio kwa ajili ya watu wote!!!