Alikiba ni mbinafsi sana

Wivu utakuuwa
 
We jamaa kwel akili huna unapoteza muda wako eti mfungulia Uzi alikiba so bora ukamfungulia Uzi Mario kuliko huyo msanii asie jitambua
Hahahaaa na ww ukapoteza muda kukoment kwenye uzi wa msanii asiyejitambua....ALI KIBA ATAWAUA...Alikiba kama unanisikia plllllz samehe hawa MBUZI KATOLIKI.
 
Ww umemzidi maendeleo uliowafollow mange na diamond?

Kila mtu na maisha yake. Unaweza kuwa mchawi bila ya mwenyewe kujua
 
Achana na maisha ya mitandaoni...

Maisha halisi yapo uswazi huku
 
Mwenzio anajiona king ujui Kama jina lake linaanza na king eti na abdu nae anakua king mdgo,yaani anabebwa tu ajui kuimba sauti analazimisha sijui km ajambagi,kiba ana shughuli Zama zake zimeisha asisimui Tena Kwanza kachelewa anafanya vitu vya zamani kuvaa ajui video zake za kwa mtogole mnafiki a.k.a.mzee wa busara kwa kifupi mziki umewashinda
 

Hakuna ulazima wowote kuwa Wewe Watu wakikupenda basi na Wewe ni lazima uwapende. Binadamu Kiuumbwaji tumetofautiana mambo mengi. Na pia haimaanishi kuwa kama hapo Mtandaoni Wao hawana Marafiki basi na hata huku Uraiani ( nje ya Mitandao ) hawana Marafiki na katika Watu hasa hawa Maarufu nchini Tanzania ambao najua huwa wanajichanganya mno na Watu Mitaani basi huyu Ali Kiba nae yumo.
 
Mimi mwenyewe sijamfollow mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…