Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha