Alikiba Punguza Uongo

Alikiba Punguza Uongo

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
845
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
 
Sisi wengine wa Miziki ya dansi ngoja tuhangaike na " Kung Fu " Man wetu Koffi Olomide.
 
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
Aaah ali kiba ndio zake hata jana aliniambia nimlipe hela aje kunizolea matakataka nyumbani, mpaka muda huu hajatokea na hela nilimlipa
 
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha

Unataka Ali Kiba akufollow, who the hell is he? Usiwe mjinga kihivyo, pigania maisha yako, Kiba si lolote si chochote.
 
Back
Top Bottom