Alikiba Punguza Uongo

Alikiba Punguza Uongo

He is a good artist ila kajiweka too local...hata vaa yake si yaki star, I used to love this dude, ila alipo anza kuji gamba. Mara sijui mm ndio KING... I knew he won't be making it soo good in career wise... Afanye kazi bhana. U king tuta kupa sisi na tuta kuita sisi...
 
Hivi hw is kiba doing nw... Aje imemfikisha wapi..??
 
Kiba kazunguka na ccm miezi yote ya kampeni anaongea uongo wa ccm
Atakosaje kua na tabia za ki shishiemu?
 
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
Kazi Kweli,Kwani Kiba akiku-follow bank account na tigo pesa mapene yanaongezeka? Huyo Kiba mwenyewe bado anabangaiza atoke.
 
Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha

Fanya yako usimfatilie mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom