me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Povu lote hili kumbe unataka follow-back ya Ali Kiba?
Kazi kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Povu lote hili kumbe unataka follow-back ya Ali Kiba?
Kazi kwelikweli.
Kazi Kweli,Kwani Kiba akiku-follow bank account na tigo pesa mapene yanaongezeka? Huyo Kiba mwenyewe bado anabangaiza atoke.Niaje washkaji zangu.
Leo kuna kitu kimenijia ghafla kichwani baada ya kutembelea "akaunti'' ya insta ya Kiba. Nilitegemea nitakuta ametekeleza ahadi yake ya kuwafollow mashabiki zake lakin nikakuta kama kawaida hajamfollow mtu. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa sijui huwa anaropoka ili kumpa faida nani.? mana tukianza kuhesabu ahadi alizotuahidi mashabiki ni nyingi kiasi cha kwamba kwa ahadi za kolabo hewa tu zinaweza kutengeneza "albamu" nzima. napenda kuchukua nafasi hii kumuambia kwamba awe makini katika kauli zake na sisi watanzania sio wajinga kila siku kutoa ahadi kwa mambo usiyo na uwezo wako. #Growup
Nawasilisha
Niaje washkaji zangu.