Alikiba: Samahani mashabiki wangu kwa kuchelewesha video ya chekecha

Yeah, uko sahihi kabisa.Muziki wa sasa ni kama kamari.Ukitoa vitu vibovu (hasa video) imekula kwako.Huoni siku hizi kuna ushindani mkubwa kwenye kutengeneza video bora? Video ndio kila kitu kwa sasa.Ukitoa video bora na ikapata airtime hadi kwenye vituo vikubwa vya TV basi msanii ana uhakika wa kupiga show nyingi tena za gharama ndani na nje ya nchi hivyo basi gharama alizotumia kutengeneza video zinarudi na faida juu.

Siku Diamond akienda kufanya video Nigeria, Ali Kiba na wenzie watahamia Nigeria
 
Kiba haendi na wakati,zama hizi audio na video huwa vinatoka kwa pa1.hawaoni hata akina dimpoz na wanjera au linnex na salima?awe anakaa na nyimbo yake hata mwaka nani atamuibia?
 
Kiba haendi na wakati,zama hizi audio na video huwa vinatoka kwa pa1.hawaoni hata akina dimpoz na wanjera au linnex na salima?awe anakaa na nyimbo yake hata mwaka nani atamuibia?

Eti haendi na wakati.Haya basi, hao wanaoenda na wakati wamefanya nini?
Kiba yuko unique, hafanyi mambo kwa kuiga na wala hafanyi mambo ili afanane na wengine.
Ndio maana namkubali namna hii.
 
Thanks for this elaboration, now I know
 
Thanks for this elaboration, now I know

You are always welcome mito! Ila best tokea juzi JF App inazingua sioni notifications hapa natumia kama vile wewe unavyotumiaga.Somehow naanza kuizoea sasa.
 
Last edited by a moderator:
You are always welcome mito! Ila best tokea juzi JF App inazingua sioni notifications hapa natumia kama vile wewe unavyotumiaga.Somehow naanza kuizoea sasa.

Pole best, kweli sometimes JF App inazingua, so hiyo ya kizamani inabidi iokoe jahazi, mwenzio leo najimwaya na laptop kwa raha zangu
 
Kama ndio ivyo director godfather c alikuja bongo wiki nzima kwa nn hakushoot ? Yy aseme anasubiri apate show azichange ndio afanye video mwisho wa siku video inanzia choon. Puuuu.

Kila kitu ni mipango tu ya msanii na management yake. Hata kama anasubiria show wewe shida yako ni nini labda? Hyo video ya chooni labda ni yako ndo unaifanyaga mwenyewe kwa sababu toilet ina kazi yake na sio Ku shoot video.
 
Imebidi nikukwoti tena, manake kuna kitu nimesahau kuuliza hapo kwa red

Sasa ili upate hiyo airtime si ndo yale mambo sasa ya kuwaangukia kina mawingu and the likes? au inabidi utoe mshiko mwingine tena ili ngoma yako ipate airtime kwenye hizo TV maarufu?
 
Well, iko hivi....ili upate airtime kwenye hivyo vituo vikubwa ambavyo mimi navizungumzia hapa ni pamoja na Trace, MTV, Channel O n.k inabidi ufanye kazi na madirector wakubwa ambao wana ushawishi mkubwa kwenye hivyo vituo mfano Godfather. Thou nimewahi kuwasikia madirector wa hapa nyumbani kama mkongwe Adam Juma akisema kuwa kama msanii atataka video yake ichezwe kwenye hizo tv's stations kubwa itabidi aongeze fungu ili aweze kumpelekea video yake katika hizo tv's stations kubwa.
Kama hujaelewa ni ruksa kuuliza best, worry out.
 
Kama ndio ivyo director godfather c alikuja bongo wiki nzima kwa nn hakushoot ? Yy aseme anasubiri apate show azichange ndio afanye video mwisho wa siku video inanzia choon. Puuuu.

Acha wivu kijana, mipango yake iko hivyo, hata akichangisha si yeye? Ulitaka abebe sembe ili apate hela za haraka. Any way poleni naona mwaka huu hamjawa nominated BET hagahahhahahaha, tulitabiri kuwa tambo na majigambo yatawapoteza
 
Nimekuelewa kidogo best, ngoja niulize swali la nyongeza

Huko kwenye TV stations kubwa si inabidi msanii alipie ili kupata airtime ya video yake? au kuna arrangement tofauti zaidi ya kulipia?
 
Nimekuelewa kidogo best, ngoja niulize swali la nyongeza

Huko kwenye TV stations kubwa si inabidi msanii alipie ili kupata airtime ya video yake? au kuna arrangement tofauti zaidi ya kulipia?

Kiukweli hilo swalo ni zito sana best na lipo nje ya uwezo wangu.Naogopa kukuongopea.Ila sio msanii anayepeleka video bali director wa ile video.Madirector wakubwa kama Godfather hupeleka video wenyewe katika tv's stations hizo kubwa.Ila hapa kwetu sijui ni wasanii ambao hua wanapeleka au management zao hata sijui.
 
Nimekuelewa nifah, hata hivyo nashukuru umenipa mwanga mkubwa hii tasnia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…