WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Aendelee kusubiri tu siku ikichokwa shauri yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali kiba je?
Okay nimekuelewa, mi nilidhani kuna hela anapata directly kutokana na mauzo ya video yake, kumbe video ni ya kumtangaza ili apate mialiko ya show, now I know!!
That's means isipobamba imekula kwake, gharama alizoingia kuitengeneza atakuwa kama katoa sadaka vile
Kiba haendi na wakati,zama hizi audio na video huwa vinatoka kwa pa1.hawaoni hata akina dimpoz na wanjera au linnex na salima?awe anakaa na nyimbo yake hata mwaka nani atamuibia?
Yeah, uko sahihi kabisa.Muziki wa sasa ni kama kamari.Ukitoa vitu vibovu (hasa video) imekula kwako.Huoni siku hizi kuna ushindani mkubwa kwenye kutengeneza video bora? Video ndio kila kitu kwa sasa.Ukitoa video bora na ikapata airtime hadi kwenye vituo vikubwa vya TV basi msanii ana uhakika wa kupiga show nyingi tena za gharama ndani na nje ya nchi hivyo basi gharama alizotumia kutengeneza video zinarudi na faida juu.
You are always welcome mito! Ila best tokea juzi JF App inazingua sioni notifications hapa natumia kama vile wewe unavyotumiaga.Somehow naanza kuizoea sasa.
Kama ndio ivyo director godfather c alikuja bongo wiki nzima kwa nn hakushoot ? Yy aseme anasubiri apate show azichange ndio afanye video mwisho wa siku video inanzia choon. Puuuu.
Yeah, uko sahihi kabisa.Muziki wa sasa ni kama kamari.Ukitoa vitu vibovu (hasa video) imekula kwako.Huoni siku hizi kuna ushindani mkubwa kwenye kutengeneza video bora? Video ndio kila kitu kwa sasa.Ukitoa video bora na ikapata airtime hadi kwenye vituo vikubwa vya TV basi msanii ana uhakika wa kupiga show nyingi tena za gharama ndani na nje ya nchi hivyo basi gharama alizotumia kutengeneza video zinarudi na faida juu.
Ali kiba je?
Imebidi nikukwoti tena, manake kuna kitu nimesahau kuuliza hapo kwa red
Sasa ili upate hiyo airtime si ndo yale mambo sasa ya kuwaangukia kina mawingu and the likes? au inabidi utoe mshiko mwingine tena ili ngoma yako ipate airtime kwenye hizo TV maarufu?
Siku Diamond akienda kufanya video Nigeria, Ali Kiba na wenzie watahamia Nigeria
Kama ndio ivyo director godfather c alikuja bongo wiki nzima kwa nn hakushoot ? Yy aseme anasubiri apate show azichange ndio afanye video mwisho wa siku video inanzia choon. Puuuu.
Well, iko hivi....ili upate airtime kwenye hivyo vituo vikubwa ambavyo mimi navizungumzia hapa ni pamoja na Trace, MTV, Channel O n.k inabidi ufanye kazi na madirector wakubwa ambao wana ushawishi mkubwa kwenye hivyo vituo mfano Godfather. Thou nimewahi kuwasikia madirector wa hapa nyumbani kama mkongwe Adam Juma akisema kuwa kama msanii atataka video yake ichezwe kwenye hizo tv's stations kubwa itabidi aongeze fungu ili aweze kumpelekea video yake katika hizo tv's stations kubwa.
Kama hujaelewa ni ruksa kuuliza best, worry out.
Nimekuelewa kidogo best, ngoja niulize swali la nyongeza
Huko kwenye TV stations kubwa si inabidi msanii alipie ili kupata airtime ya video yake? au kuna arrangement tofauti zaidi ya kulipia?
Kiukweli hilo swalo ni zito sana best na lipo nje ya uwezo wangu.Naogopa kukuongopea.Ila sio msanii anayepeleka video bali director wa ile video.Madirector wakubwa kama Godfather hupeleka video wenyewe katika tv's stations hizo kubwa.Ila hapa kwetu sijui ni wasanii ambao hua wanapeleka au management zao hata sijui.