Alikiba: Tunafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa Mtv EMA

Alisema hana shida na tuzo, sasa imekuwaje tena. Hajielewi na hana msimamo.
 
Me nadhan Kuna uelewa Mdogo Juu ya hili. Kwa ilivyo ni kwamba Judges ndio wanao toa asilimia Kubwa sana kuliko Kura za mashabiki. Alikiba anang'ang'ania kwamba Kaporwa kilichotakiwa kuwa mali yake ila Kiuhalisia Unapo mleta Kiba na Baba-Nla(Wizkid) kwa wakatii huu kwenye Mzani utaona Wizkid amemzidi Kwa kilo nyingi yawezekena ikawa kilo 80 kwa 20, na hii yote inatokana na Kazi kubwa aliyo ifanya Wizkid kwa mwaka huu. Kwa haraka haraka hata ukiangalia Collabo na International Tours alizofanya Wizkid ni nyingi tena Alitisha, sasa Kiba tuu Hapo Kenya.

Kwa wakati huu ni kwamba Kiba akubali tuu kushindwa na Ajipange upya kwa Mwakaini maana teyari amekwisha jiwekea Legancy kubwa katika Muziki. Hakuna haja ya Kuongelea jambo hili maana halitamsaidia chochote.
 
kikkwapi?????
 
Back
Top Bottom