Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Yani Alikiba kwenye huo wimbo bora asingelikuwepo maana ameuharibu sana kwakweli yani kipande cha Aslay ni raha kukisikiliza lakini Alikiba sijui kapatwa na nini sijui alipania sana?

Hakika Bora angeliimba Kingwendu kwenye hiyo nafasi!
 
Haya enda kaolewe sasa
 
Alikiba alitaka amfumunike aslay chaa ajabu kafunikwa yeye
Yani Alikiba kwenye huo wimbo bora asingelikuwepo maana ameuharibu sana kwakweli yani kipande cha Aslay ni raha kukisikiliza lakini Alikiba sijui kapatwa na nini sijui alipania sana?

Hakika Bora angeliimba Kingwendu kwenye hiyo nafasi!
 
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario
Ngoma ni mbaya haina mvuto haina hata Melody nzuri ya kumvutia msikilizaji.
 
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario
kaimbe wewe Malaya B
 
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario
Wimbo wa kiboya, Kiba asingeongeza chochote, tena kiba ndo kaimba vizur ,Melody ya kupanda na kushuka ili kuleta ladha, tofaut na aslay almost kama kapiga flat, .....nyimbo sio ya amsha na hvyo haitafika mbali
 
Mmmh noja nikausikilize tena kuongeza viewers maana tunataka upite ule wa navy kenzo na konde boy kwa viewers muda huo huo pia sisi team kiba tutahakikisha unapita ule wa diamond alomshirikisha fally pupa inama kwa viewers
Tukiamua tunaweza team kiba mikono juuu??
Ila jamani siko serious kiviile. Japo tutahikikisha angalau tunaipush.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti..! Kingwendu.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom