jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Wa kawaida mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya enda kaolewe sasa
Team kiba ilisha jifia....Mmmh noja nikausikilize tena kuongeza viewers maana tunataka upite ule wa navy kenzo na konde boy kwa viewers muda huo huo pia sisi team kiba tutahakikisha unapita ule wa diamond alomshirikisha fally pupa inama kwa viewers
Tukiamua tunaweza team kiba mikono juuu??
Ila jamani siko serious kiviile. Japo tutahikikisha angalau tunaipush.
[emoji23][emoji23]mke wake AMina
Kiufupi ngoma ni mbaya haivutii kuanzia beat,Melody na pia hakukuwa na chemistry Kati yaoMbona ameimba poa tu sana!!!Sema sijajua hii ni aina gani ya mziki Aslay ameimba?Tarabu au ?
Hii ngoma nimeona jana YouTube,hata dakika 1 sikumalza...
Duu nyimbo ndio kwanza ina masaa manne,ila Aslay kabadilika kaacha kulalamika,kwangu mimi nyimbo nzuri.
Hahahaaaaa...ndio sababu hata mimi ngoma za huyu dogo huwezikuta naskiliza sababu kulalamika tu...Bwanamdogo anaboaga sana no kulalamika tu kama Mke mwenza
Hivi Ali Kiba alipewa na nani hadhi ya ufalme ?
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba
Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground
Bora tu hata angesimama mayunga au mario
LayamaLinasomeka kama lamaya
Wakazi vipina wananchi
atabaki hivyo ndugu
Wimbo wa kiboya, Kiba asingeongeza chochote, tena kiba ndo kaimba vizur ,Melody ya kupanda na kushuka ili kuleta ladha, tofaut na aslay almost kama kapiga flat, .....nyimbo sio ya amsha na hvyo haitafika mbali