Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Hii ngoma nimeona jana YouTube,hata dakika 1 sikumalza...
 
Mmmh noja nikausikilize tena kuongeza viewers maana tunataka upite ule wa navy kenzo na konde boy kwa viewers muda huo huo pia sisi team kiba tutahakikisha unapita ule wa diamond alomshirikisha fally pupa inama kwa viewers
Tukiamua tunaweza team kiba mikono juuu??
Ila jamani siko serious kiviile. Japo tutahikikisha angalau tunaipush.
Team kiba ilisha jifia....
 
Mbona ameimba poa tu sana!!!Sema sijajua hii ni aina gani ya mziki Aslay ameimba?Tarabu au ?
 
Suala la KING wa KARIAKOO, tumuachie MUNGU tu wakubwa....Yooooooooooooo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario

Kiba ana sauti tamu sana, wimbo kahangaika kujiweka au kuvutika kwenye sauti ya Aslay, hilo tu

angeimba sauti zake zile kungekuwa hakuna chemistry ya part ya aslay na yeye

otherwise wangeimba nyimbo tofauti kabisa na maadhi ya pwani/taarabu

muwe mnaelewa haya mambo
 
malaya b upo?
yaani wewe dem wako afu mtu anakuja kukwambia huyu dem hakufai..
bora hata ungekuwa na wema?
vipi hapo?
 
Alikiba atafute kazi nyingine ya kufanya
Wimbo wa kiboya, Kiba asingeongeza chochote, tena kiba ndo kaimba vizur ,Melody ya kupanda na kushuka ili kuleta ladha, tofaut na aslay almost kama kapiga flat, .....nyimbo sio ya amsha na hvyo haitafika mbali
 
Back
Top Bottom