AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ultaka nyimbo zake zisipigwe mawingu fm kama angekataa kupostAlikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Yaani siamini ujue!sio kwa matusi yale mwenzangu!looh hatimae kingkiba kawaumbua mchana kweupeeee!
Tatizo IQ hahahaaa Kiba ana IQ kubwa kuliko mashabiki wake...IQ yake inakaribiana na Dr anayetoa le tamko leoo....oyeeee