Na wewe umeona hicho ni kitanda kweli au kochi????Dah kweli hakina hadhi yake aisee
Mbona nao kovu moja tu,inama mwenzetu kwenye mwili wako huna hata kovu moja?Hili demu nimelielewa aisee dah.... Sema muonekano wake kama ana makovu makovu lina ngwengwe nini....
Mwenye mawasiliano na huyu demu tafadhali ani pm number zake...
Mengine nawaachieni sijaona point kwenye maelezo ya mleta mada..... Nimeona point tu tena za muhimu kwenye hizo picha.....
Na wewe umeona hicho ni kitanda kweli au kochi????
Ndio mana hata viongozi wetu wanasaini mikataba bila kusoma hiii ndio hulka ya watanzania
Dah kweli hakina hadhi yake aisee
DuhUnamaanisha nini hakina hadhi yake? Kama kakubali kutumiwa na fiesta basi hiyo ndo hadhi yake kabisa, maana hata huko fiesta wanapewa pesa ya mboga tu.
Dah kweli hakina hadhi yake aisee
DuhHadhi yake ni hipi?, kapewa kinachomstahiki na yeye mwenyewe yupo happy tu, si unaona full tabasamu na picha juu? Inakupasa uelewe kitu kimoja kaka, Nje ya Diamond hakuna Kiba, Kiba angeweza kulala sehemu nzuri endapo Diamond naye angekuwa kwenye hiyo trip, kwa chumba na kitanda kama hicho, hapo Kiba hana Tofauti na Aslay, Harmorapa nk
Mwaka jana alikuwa Dodoma kwenye show yake, shoo ilikuwa kwenye Bar ya Uswazi iabisa, na kulikuwa na spika mbili tu zilizowekwa juu ya Makreti ya bia, Mike zilikuwa mbili zilizounganishwa pamoja na Mpira,