Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

povu beseni.
 
Waza nje yankibox chako basi kama ni getho kwa demu je
 
Ni hadhi yake ndio,..af wabongo sjui mkoje,hiv hawa wasanii wetu mnadhan wana sh ngap?hawa wasanii wetu ni njaa kali,msione magar wanayotembelea na nguo na mapicha na video kali,..magar meng sio mapya yaan wananunua kupatana,..nguo ndo hvyo,nyumba hawana,inshort wana hustle,mi nna washkaj wangu weng wasanii na had wanakoish naenda sana,nawajua vilivyo,hunambii kitu,..so HYO KITANDA NI HADHI YAKE KABSAAA.
 
HUYU MTOA MADA AMEANZA VIZURI SAANA,NIKAJUA ATAONGEA KITU KINACHOENDANA NA KAZI YAKE HUYO ALI KIBA,,,KUMBE ANALALAMIKA ATI DEM MUUZA DUKA HAFANANI NAE.MARA KITANDA.
JE ULITAKA APIGE PICHA NA WEWE?
JE ULITAKA AKUTONGOZE WEWE?
KITANDA KIPI CHENYE HADHI??AU MMESHAZOEA WASANII WENYE KUJIPROUD ANAZUGA KUPIGA MAPICHA KTK KITANDA KIZURI.HLF KWA BAADAE HATA HELA YA HIO HOTELI HANA,KULIPIA HICHO CHUMBA.
KIBA MTT MTAANI HANA NYODO.KAMA CASH ANAYO.KAMA JINA ANALO KAMA KIPAJI ANACHO...
ACHENI ROHO ZA KWANINI..
KIBA MTU WA WATU HAMDHARAU MTU JUU YA UWEZO ALIONAO..
TATIZO MLISHAZOEA WASANII WENYE NYODO.
Mfano hai,,,,Dai alikua na mwanamke nzuri milionea.Leo huyo mdada yukwapi??pamoja na uzuri wake na Pesa zake..
"
DONT MESS WITH KIBA"

We Pambana Na Hali Yako Tu
 
Na wewe umeona hicho ni kitanda kweli au kochi????
Ndio mana hata viongozi wetu wanasaini mikataba bila kusoma hiii ndio hulka ya watanzania

[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Msamehe Bure huyo ana Makengeza[emoji3][emoji3]
 
Hata demu hana hadhi yake ukiachilia mbali kitanda......huyu kibakuli ameshuka hadhi ghafla sana


Shabiki ni sawa na mteja awe na hadhi asiwe na hadhi ili mradi anakuletea Pesa kwenye kazi zako.

me kwangu mteja ata awe kichaa namuudumia nakuonyesha thaman ile ile ya wateja wengine.
 
Mleta post hauko sahihi hicho sio kitanda ni kochi na Kiba hakupiga picha moja kapiga picha na mashabiki wake wengine sehemu hiyo hiyo
NB😛hoto nimenyonya kwa page ya dengue.
Watu ni wanafiki jamani hahaha tayari mtoa post ameshajulikana ni MTU wa kijiwe gani na alikua na lengo gani,Asante re Professor kwa kutuondolea hawa wapuuzi wanaogombanisha wasanii wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…