Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

Kwani kitanda kina endana na hadhi ya mtu?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tanzania kwasasa FESTA ni tamasha liloshika kasi na kupendwa na watu wengi kutoka na kuwa na Wasanii wengi wanaopendwa na watu Tofauti tofauti tofauti! Haina ubishi kwa kiingilio cha Elfu 9/10 ni watu wengi sanaa wanao ingia kwenye Show!

Kati ya wasanii waliopo kwenye Tamasha Hili ni pamoja na ALIKIBA! Kilicho nisikitisha ni baada ya kuona picha alizo piga alikiba Hotel aliofikia akiwa na Mdada inaesemekana ni MUUZA DUKA! Sasa nilicho kuwa najiuliza KWA KITANDA KILE na ukubwa wa show Je wasanii wetu hawa wanalipwa vizuri kwelii au wanafanyishwa kazi kwa malipo kidogo? kwa kitanda kile ni kwamba hawa wasanii wanalala kwenye hotel ambazo hazizidi elfu 25 kwa siku je hiyo ni hadhi yao kweli au wanaonewa?

kingine ni Je Alikiba Alipo kuwa anapiga picha yule inaesemekana ni Shabiki wake alifikiria kabla ya kutenda au alizimishwa na Meneja wake? Mana Wamepiga picha wakiwa nje wakiingia hadi chumbani picha zikaendelea swali ni Je ALIKIBA HAJAMLA YULE DADA KWELI?

Ila bado Mm nasema kile KITANDA sio Hadhi ya ALIKIBA na msanii mwingine yeyote! Si kitakuwa kinapiga kelele! HAPANA FIESTA badirisheni Utaratibu kama MWANZA wanalala sehemu ile Je KIGOMA watalala sehemu Gani?View attachment 594895View attachment 594896View attachment 594898View attachment 594900View attachment 594903
Ila ni mzigo una mgongo wa maana.. Hadhi utamu bana hadhi kitu gani mbele ya utamu
 
Kwaiyo ishu kubwa ni kitanda siyo Sasa ukifa unaoza unatoa funza unanuka unafukiwa kaburini ndo kitanda chako
Wacha ujinga rah za dunia znapita ishi kwa kawaida kulala jitanda likubwa si kwamba ww tajili bana
 
Ulipotaja kigoma tu ndo umeharibu kabisa,wakati unayemzungumzia akifika huko lazima aende kuwasalimia ndugu zake mtaani,nakupata maji ya madafu(umaarufu) kule kabondo.
 
Kikubwa Muamala usome tu mkuu kwan hyo Hotel anakaa mwezi mzima
 
Hapo unavaa condomu tatu, halaf mashine unsingiza robo tatu na si yote. Wanaume huwa hatuachi demu, ukikuta anakohoa na kakonda konda unavaa condom mbili. Ukikuta clear kabisa peku, hahahaha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] . coms
 
Back
Top Bottom