Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Kuna watu wanaumia na moment za Alli Kiba... hapo kwenye huo msafara kungekuwa na watu 20 wangekuja kusema hana mvuto lakini mfalme kakusanya kijiji bado wanaumia kwani tatizo nini jamani? Yete kishaamuwa kuwa local Musician mwacheni nyiye endeleeni kumsapoti huyo International Musician huyu King tuachieni tunayempenda