Alikiba yuko wapi

Naomba ajibu hapaa sio kubanana kwenye daladala tu hivi Kim nana upo wapii

akaaaa!!gari la nini mimi??? na wakati TZ eleven zangu zipo imara kama tanga cement, alafu ninavyoenjoy kupigania daladala siwezi eleza.
 
Last edited by a moderator:

ninachowapendea mnajua kuishi kwa matumaini. team kiba one loveee!! tuendelee kusubiri dodo chini ya mpera.
 
akaaaa!!gari la nini mimi??? na wakati TZ eleven zangu zipo imara kama tanga cement, alafu ninavyoenjoy kupigania daladala siwezi eleza.

Hapa sasa naanza kuwaelewaa aisee ndio maana mnaona ajabuu kila kitu yaan hadi keki mnaishangaa du punguzeni ushamba aisee
 
Hata nyie mmeruhusiwa kuanzisha au mmeshikiwa viboko msianzishe.......
 
akaaaa!!gari la nini mimi??? na wakati TZ eleven zangu zipo imara kama tanga cement, alafu ninavyoenjoy kupigania daladala siwezi eleza.

Wee kugombania daladala rahaaa, tena ushanitia hamu...kesho naenda Mbagalaaaa.....!
 
Wee kugombania daladala rahaaa, tena ushanitia hamu...kesho naenda Mbagalaaaa.....!

hahahahahahaaa! embu waambie nana wangu, watutolee shuzi zao na vi vitz vyao vya mkopo!! alafu wakisha chukua mkopo huko sakosi utawaskia ''natafuta gari lisilokula mafuta'' daadekii zao wayapikie uji mxiiiuuuuu!!!
 
Unazima jivu wewe......Kiba huwezi kumfananisha na huyo mbana pum.bu.Hakuna cha kujadili zaidi kupotezeana hamu ya chakula cha usiku.

hahahahahaa si ndio maana tuliwatahadharisha mapemaaa???? tembeeni na ndimu kwenye mikoba yenuuuuu, yani kama nauli vile, na mkiendelea kutufuatilia vidonda vya tumbo lazima viweke kambi kwenye duodenum zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…