Alikiba yuko wapi

Alikiba yuko wapi

sasa mfungieni chambani kama mwali wa kizaramo, na ile sauti aliyosifiwa na arakeli aliofungia bank kwenye fixed acc, biashara ni matangazo jamani, term kiba acheni uvivu

Una haraka ya kwenda wapi??kwa uandishi huu ni shida kumuelewa Ali kiba
 
hahahahaa ninaharaka kama gari la zima moto, lakini sio kesi nia yangu ni kuwakumbusha tu team kiba jamani eeeh!!?? mpo wapiiiiiiii????? am curious!!!
 
dah kiba bana nimerud mwez mmoja mwana chuja kbs hbr ya mjini mdogo mdogo na tayari nomineez kwenye matuzo ya watu jipange kiba
 
waapuuzi achana nao
mi binafsi kiba nampenda miaka mia naneeeeeee
avumeeeeee
asivumeeeee
team kiba yesterday,today and 4eva

mbuta nanga kumbe mmeshakuja, mjitume basi kumpigia promo angalu apate ufadhili atoe video jamani, HAMJUI tunahamu nayo vipi, sio msubiri mpaka muitwe
 
dah kiba bana nimerud mwez mmoja mwana chuja kbs hbr ya mjini mdogo mdogo na tayari nomineez kwenye matuzo ya watu jipange kiba

umeonaee??? me ndo maana roho inaniuma jamani, can u imagine mtu akisifiwa mpaka na R kelly kwa voko alafuu...... dah!!! very painfully
 
Naona watu wanatumia fursa ya kutokuwepo warumi kuanzisha thread za kijinga....mmemaliza sherehe ya magari aliyopewa mwanamke mwenzenu???
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhaaaa bado wanashabikiaaa wakati wao wanabanana kwenye daladalaaa kwiiiiii
 
Last edited by a moderator:
mbuta nanga kumbe mmeshakuja, mjitume basi kumpigia promo angalu apate ufadhili atoe video jamani, HAMJUI tunahamu nayo vipi, sio msubiri mpaka muitwe

Team wema kwa uchokozi tuu loooo kiba yupo busy
 
Naona watu wanatumia fursa ya kutokuwepo warumi kuanzisha thread za kijinga....mmemaliza sherehe ya magari aliyopewa mwanamke mwenzenu???

si jambo la kuuliza huko mtaa wa pili sherehe mwaka mzima. tatizo ni kwa wale wenye kichefuchefu ndimu zitakapo isha sokoni, ndio najiuliza hapa itakuwaje
 
Last edited by a moderator:
Masa Mzenji analia anasema wapi MASA mwambie come here,
Kwa MASA nimenasa anadai MZENJ anasema wewe aminia,
Tunamtuliza na Radical ila anadia hatuna uweza wa kwako nia,
Mzee umempa nini MZENJ? oooH! anakulilia ka vile Tanzania.
Tunakuombea kwa Maulana ufike salama na usisahau kunicheki wrestlemania.

Be honest,wewe una hata starlet mamii??
 
si jambo la kuuliza huko mtaa wa pili sherehe mwaka mzima. tatizo ni kwa wale wenye kichefuchefu ndimu zitakapo isha sokoni, ndio najiuliza hapa itakuwaje

Tumejipangaaa kweliii ndimu zimestawiii halaf jiki za kumwagaaaaa upooo.
 
mbuta nanga kumbe mmeshakuja, mjitume basi kumpigia promo angalu apate ufadhili atoe video jamani, HAMJUI tunahamu nayo vipi, sio msubiri mpaka muitwe

huo upepo utapita tuu
hata nature enzi zake alikua hvyo hvyoo
nature vs inspector haroun
afu kiba sio mtu wa skendo msanii wenu analazmsha umAarufu
tushamjua anasafria nyota za mademu bila skendo hana maisha
km mnabisha aache skendo afu tuone km atajulikana
mshambaaaaaaaaaaaaa
anapnda cheap publicity
pyeeeeeee eeeerrrr
 
Hivii umeona mbwembwe zao hawaaa lakini kule kwenye birthday wana maigizooo
 
Tumejipangaaa kweliii ndimu zimestawiii halaf jiki za kumwagaaaaa upooo.

Mh,jiki si zitatuchubua koo jamani???hivi madame ule mkorogo uliochanganywa na jiki akajipaka akawa kama lady gaga alinunua wapi jamani???
 
Back
Top Bottom