miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Nilijuaa lazima uje aisee miss strong bana
Ha ha ha ha maana naona mleta mada hana mada.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijuaa lazima uje aisee miss strong bana
sasa mfungieni chambani kama mwali wa kizaramo, na ile sauti aliyosifiwa na arakeli aliofungia bank kwenye fixed acc, biashara ni matangazo jamani, term kiba acheni uvivu
Una haraka ya kwenda wapi??kwa uandishi huu ni shida kumuelewa Ali kiba
waapuuzi achana nao
mi binafsi kiba nampenda miaka mia naneeeeeee
avumeeeeee
asivumeeeee
team kiba yesterday,today and 4eva
Ha ha ha ha maana naona mleta mada hana mada.
dah kiba bana nimerud mwez mmoja mwana chuja kbs hbr ya mjini mdogo mdogo na tayari nomineez kwenye matuzo ya watu jipange kiba
mbuta nanga kumbe mmeshakuja, mjitume basi kumpigia promo angalu apate ufadhili atoe video jamani, HAMJUI tunahamu nayo vipi, sio msubiri mpaka muitwe
Team wema kwa uchokozi tuu loooo kiba yupo busy
aaaah! na mimi nae kwa kusahau, kweli nimeshakumbuka sijui alisemaga yupo bize anamlea mwanae, yeah!
Naona watu wanatumia fursa ya kutokuwepo warumi kuanzisha thread za kijinga....mmemaliza sherehe ya magari aliyopewa mwanamke mwenzenu???
Masa Mzenji analia anasema wapi MASA mwambie come here,
Kwa MASA nimenasa anadai MZENJ anasema wewe aminia,
Tunamtuliza na Radical ila anadia hatuna uweza wa kwako nia,
Mzee umempa nini MZENJ? oooH! anakulilia ka vile Tanzania.
Tunakuombea kwa Maulana ufike salama na usisahau kunicheki wrestlemania.
si jambo la kuuliza huko mtaa wa pili sherehe mwaka mzima. tatizo ni kwa wale wenye kichefuchefu ndimu zitakapo isha sokoni, ndio najiuliza hapa itakuwaje
mbuta nanga kumbe mmeshakuja, mjitume basi kumpigia promo angalu apate ufadhili atoe video jamani, HAMJUI tunahamu nayo vipi, sio msubiri mpaka muitwe
huo upepo utapita tuu
hata nature enzi zake alikua hvyo hvyoo
nature vs inspector haroun
afu kiba sio mtu wa skendo msanii wenu analazmsha umAarufu
tushamjua anasafria nyota za mademu bila skendo hana maisha
km mnabisha aache skendo afu tuone km atajulikana
mshambaaaaaaaaaaaaa
anapnda cheap publicity
pyeeeeeee eeeerrrr
Tumejipangaaa kweliii ndimu zimestawiii halaf jiki za kumwagaaaaa upooo.