Alikiba yuko wapi

Alikiba yuko wapi

Hii thread ni ya kipashkuna,umbea,majungu na mipasho
 
Hizo si nyimbo, kiba kaisha kubalini. Atatokaje na wim o wa mtu wa kuiga...kimaso maso thats bullshit**
 
Usidanganywe na radio biashara ya muziki haipo kiivo redioni siku hizi.

Mkuu pole sana. Unaonekana unapenda kusikia skendo skendo hivi kiki za kugombaniwa na micharuko ya dar n.k....ha ha ha pole sana. P Square walipokija Tz walishauri media houses ziwasapoti wasanii wa ndani ili wafikie mafaniko ya kibiashara. Sasa sijui wewe matumbo na P square nani anajua umuhimu wa redio stations.. Pia mtoa mada kasema hamsikii Ali kiba wadau wakamjibu kiba yupo na anakimbiza #1 katika almost all redio stations in East Africa sasa labda mnataka mumsikie kwenye magazeti yetu yale ya yule msukuma na zile blog zinazo zusha vifo vya wasanii
 
Last edited by a moderator:
Hizo si nyimbo, kiba kaisha kubalini. Atatokaje na wim o wa mtu wa kuiga...kimaso maso thats bullshit**

Shughulisha akili yako japo kidogo mkuu. Kimaso maso ni wimbo ambao upo kwenye ile project ya ku sample nyimbo za zamani ambao ulisimamiwa na clouds media nyimbo nyingine ni Jua na mvua Jmo ft. Roma, ya laiti- mwana fa ft. Lina na nyingine nyingi....!!
 
Mkuu pole sana. Unaonekana unapenda kusikia skendo skendo hivi kiki za kugombaniwa na micharuko ya dar n.k....ha ha ha pole sana. P Square walipokija Tz walishauri media houses ziwasapoti wasanii wa ndani ili wafikie mafaniko ya kibiashara. Sasa sijui wewe matumbo na P square nani anajua umuhimu wa redio stations.. Pia mtoa mada kasema hamsikii Ali kiba wadau wakamjibu kiba yupo na anakimbiza #1 katika almost all redio stations in East Africa sasa labda mnataka mumsikie kwenye magazeti yetu yale ya yule msukuma na zile blog zinazo zusha vifo vya wasanii

Mimi ndio nakwambia sasa tupo kwenye industry mpya , ila sikulazimishi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana. Unaonekana unapenda kusikia skendo skendo hivi kiki za kugombaniwa na micharuko ya dar n.k....ha ha ha pole sana. P Square walipokija Tz walishauri media houses ziwasapoti wasanii wa ndani ili wafikie mafaniko ya kibiashara. Sasa sijui wewe matumbo na P square nani anajua umuhimu wa redio stations.. Pia mtoa mada kasema hamsikii Ali kiba wadau wakamjibu kiba yupo na anakimbiza #1 katika almost all redio stations in East Africa sasa labda mnataka mumsikie kwenye magazeti yetu yale ya yule msukuma na zile blog zinazo zusha vifo vya wasanii

mwana umeshika no moja kila redio station then what????? yeye yupo home analea!!! think big brooo.
 
Last edited by a moderator:
mwana umeshika no moja kila redio station then what????? yeye yupo home analea!!! think big brooo.

Kinachokuumiza kichwa kiba sio mtu wa kuji show off...the guy is talented na anajua you know sio wale wa kujipiga picha kwenye vioo vya toilet na kupost...Ha ha ha ha unaona ajabu kulea? Labda ule ugonjwa wa gono utakuwa umesomba kizazi chako mkuu...hakuna furaha kubwa maishani kama watoto trust me..!!!!
 
mnanichoshaga hapa tuu, mnaposema sio mtu wa kujishow off mnamaanisha nini labda???? sio mtu wa skendal, sema shigongo hajavutiwa nae, hauziiiii magazeti yatadodaa, mti upigwae mawe ndio wenye matunda, kwa taarifa yako namfollow insta. kule anapiga hadi magoti promotion iendelee promotion iendelee lakini imebumaaaaaaaaaaaaaaaa, eti anakipaji what is kipaji?????
 
Heee mama lini Ali Kiba alipiga magoti?na alimpigia nani?unamdanganya nani hapa ambaye hajamfollow OfficialAliKiba Instagram???
Umbea wako umevuka mipaka,hii ni chuki sasa...
 
alafu ujinga wenu mmoja mnadhani kumpenda mtu ni kumsifia tuuuuuuu hata kama anaboronga, criticism hutoa watu wenye mapenzi ya dhati, na kwa wanaojielewa hukubali kukosolewa.
 
mnanichoshaga hapa tuu, mnaposema sio mtu wa kujishow off mnamaanisha nini labda???? sio mtu wa skendal, sema shigongo hajavutiwa nae, hauziiiii magazeti yatadodaa, mti upigwae mawe ndio wenye matunda, kwa taarifa yako namfollow insta. kule anapiga hadi magoti promotion iendelee promotion iendelee lakini imebumaaaaaaaaaaaaaaaa, eti anakipaji what is kipaji?????

Mkuu umepanik? Huna kipaji baki kumshangilia tu aliyepewa na Mungu kapewa tu?? Unamkubali kiaina mpaka umemfollow Insta????
 
Back
Top Bottom