NYOTA YA CHIPS
Member
- Sep 21, 2014
- 62
- 41
Kiba ndio bongofleva na bongo fleva ndio kiba .....anapendwa na watu smart kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huji kule tumechekwaajee mpaka mvua imenyeshaa aisee,wema katufanya matusiii ya hali ya juuu
Hizo si nyimbo, kiba kaisha kubalini. Atatokaje na wim o wa mtu wa kuiga...kimaso maso thats bullshit**
Kiba ndio bongofleva na bongo fleva ndio kiba .....anapendwa na watu smart kichwani
Kiba yupo wapi!! Nyie sio watz khaaaa
Wakat Jana mwana imekamata no 1 radio kubwa zote za Tz
Usidanganywe na radio biashara ya muziki haipo kiivo redioni siku hizi.
Hizo si nyimbo, kiba kaisha kubalini. Atatokaje na wim o wa mtu wa kuiga...kimaso maso thats bullshit**
Mkuu pole sana. Unaonekana unapenda kusikia skendo skendo hivi kiki za kugombaniwa na micharuko ya dar n.k....ha ha ha pole sana. P Square walipokija Tz walishauri media houses ziwasapoti wasanii wa ndani ili wafikie mafaniko ya kibiashara. Sasa sijui wewe matumbo na P square nani anajua umuhimu wa redio stations.. Pia mtoa mada kasema hamsikii Ali kiba wadau wakamjibu kiba yupo na anakimbiza #1 katika almost all redio stations in East Africa sasa labda mnataka mumsikie kwenye magazeti yetu yale ya yule msukuma na zile blog zinazo zusha vifo vya wasanii
Mkuu pole sana. Unaonekana unapenda kusikia skendo skendo hivi kiki za kugombaniwa na micharuko ya dar n.k....ha ha ha pole sana. P Square walipokija Tz walishauri media houses ziwasapoti wasanii wa ndani ili wafikie mafaniko ya kibiashara. Sasa sijui wewe matumbo na P square nani anajua umuhimu wa redio stations.. Pia mtoa mada kasema hamsikii Ali kiba wadau wakamjibu kiba yupo na anakimbiza #1 katika almost all redio stations in East Africa sasa labda mnataka mumsikie kwenye magazeti yetu yale ya yule msukuma na zile blog zinazo zusha vifo vya wasanii
Kiba yupo wapi!! Nyie sio watz khaaaa
Wakat Jana mwana imekamata no 1 radio kubwa zote za Tz
Kiba ndio bongofleva na bongo fleva ndio kiba .....anapendwa na watu smart kichwani
Hii thread ni ya kipashkuna,umbea,majungu na mipasho
mwana umeshika no moja kila redio station then what????? yeye yupo home analea!!! think big brooo.
mnanichoshaga hapa tuu, mnaposema sio mtu wa kujishow off mnamaanisha nini labda???? sio mtu wa skendal, sema shigongo hajavutiwa nae, hauziiiii magazeti yatadodaa, mti upigwae mawe ndio wenye matunda, kwa taarifa yako namfollow insta. kule anapiga hadi magoti promotion iendelee promotion iendelee lakini imebumaaaaaaaaaaaaaaaa, eti anakipaji what is kipaji?????Kinachokuumiza kichwa kiba sio mtu wa kuji show off...the guy is talented na anajua you know sio wale wa kujipiga picha kwenye vioo vya toilet na kupost...Ha ha ha ha unaona ajabu kulea? Labda ule ugonjwa wa gono utakuwa umesomba kizazi chako mkuu...hakuna furaha kubwa maishani kama watoto trust me..!!!!
mnanichoshaga hapa tuu, mnaposema sio mtu wa kujishow off mnamaanisha nini labda???? sio mtu wa skendal, sema shigongo hajavutiwa nae, hauziiiii magazeti yatadodaa, mti upigwae mawe ndio wenye matunda, kwa taarifa yako namfollow insta. kule anapiga hadi magoti promotion iendelee promotion iendelee lakini imebumaaaaaaaaaaaaaaaa, eti anakipaji what is kipaji?????