Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
- Thread starter
-
- #81
Mkuu umepanik? Huna kipaji baki kumshangilia tu aliyepewa na Mungu kapewa tu?? Unamkubali kiaina mpaka umemfollow Insta????
haaaa kumbe muda wote unadhani me namchukia kiba???? nope!! ila nachukia misifa ya kijinga mnayompa,ni kweli kabisa KIJANA ANASAUTI NZURI, ANAKIPAJI TENA SANA kinachoniboa mimi na ndio naama namcriticize hapa kabweteka, he is not practical, he is not creative alafu mnatulazima kumsifia tu hivyo hivyo.
Kiba nyakati hizi na ukongwe wake alipaswa awe anapasua anga huko mbele huko, alitakiwa awe kwenye manomination kibao, alitakiwa atoe upinzani wa nje huko, ndio maana ya kukuwa kisanii,
sasa mtu kadumaa nyimbo kibao katoa hatoboi mbele, mkiambiwa huyu mtu kadumaa anahitaji catalist akue mnatukana, mnaona tuna chuki.
Na kila ajiitae team kiba humsifia hivi;
1. kiba ana sauti nzuri
2. kiba anakipaji
3. kiba hana scandal
4. kiba sio mtu wa kujishow
Okey then if this is all u need from him, am done NO MORE COMMENTS.