Alikiba yuko wapi

Alikiba yuko wapi

Paula kilaki

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,909
Reaction score
1,290
Jamani wale term kiba vipi tena mbona hata mwezi bado no any uzi unaomuongelea huyo mpendwa wetu.

Habari ya mwana imeishia wapi?

Tupeni up date yupo wapi? show wapi? anapanga kufly kwenda kufanya show nchi ipi na ipi?

Eti jamani vitu kama hivyo, hata kama vya uongo nyie tuleteeni tuu, acheni kumdrop down.

Mimi nimeanza
 
Hahahaaaa hana jipya hyo wanampa sifa za kumpoza2 hao team nanihino!!
 
Tuanzishe tu hata kama uongo ili??

sasa mfungieni chambani kama mwali wa kizaramo, na ile sauti aliyosifiwa na arakeli aliofungia bank kwenye fixed acc, biashara ni matangazo jamani, term kiba acheni uvivu
 
Uyu kiba tangu amekua g.ay ni mzto sn.kwny tasnia ya mziki..msameeni tu
 
Jamani wale term kiba vipi tena mbona hata mwezi bado no any uzi unaomuongelea huyo mpendwa wetu.

Habari ya mwana imeishia wapi?

Tupeni up date yupo wapi? show wapi? anapanga kufly kwenda kufanya show nchi ipi na ipi?

Eti jamani vitu kama hivyo, hata kama vya uongo nyie tuleteeni tuu, acheni kumdrop down.

Mimi nimeanza

hahahahahaha na umewachokoza kwel... wapi team kiba.
 
Kwasababu yye sio mtu wa kupenda mambi ya kipuuzi..
Unataka nae anaandkwa kuwa anafanya vikao vya harusi.??kahonga gari.??kakosana na mamake kisa amamke anatembea na dogodgo.???
 
Kwasababu yye sio mtu wa kupenda mambi ya kipuuzi..
Unataka nae anaandkwa kuwa anafanya vikao vya harusi.??kahonga gari.??kakosana na mamake kisa amamke anatembea na dogodgo.???

Mbona huji kule tumechekwaajee mpaka mvua imenyeshaa aisee,wema katufanya matusiii ya hali ya juuu
 
kiba si mtu wA mAskendo wengine wanabebwa na maskendo ya wanawake
mf kiba awe na lulu afu kutwaa kujinadi ataacha kuwika
ukweli wengine skendo za kishenzi shenzi zina wabeba
kiba amelelewa akaleleka
amekuzwa akakuzika
 
Kwasababu yye sio mtu wa kupenda mambi ya kipuuzi..
Unataka nae anaandkwa kuwa anafanya vikao vya harusi.??kahonga gari.??kakosana na mamake kisa amamke anatembea na dogodgo.???

waapuuzi achana nao
mi binafsi kiba nampenda miaka mia naneeeeeee
avumeeeeee
asivumeeeee
team kiba yesterday,today and 4eva
 
Back
Top Bottom