AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Mkuu kwa mambo unayoongea hapa nina mashaka hata kama uelewa wako juu ya freemasons ni wa uhakika.
Watu wengi wanadhani freemasons sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji, magazeti ya shigongo yamepotosha jamii sana.
Hawa freemasons nimeanza wasoma way back 2003 hata tz hawajawa famous.
Diamond aliomba msamaha tena wa kiutani utani kwenye ukurasa wake wa insta, Ngwajima akaja sema ana video zake diamond akamjibu kuwa kama anazo azipost asipozipost basi atakuwa mchungaji muongo.
Usiamini kila umachoskia Ngwajima alishawambia watu atamrudisha Amina na wakaamini je alirudi?
Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..
Pia internet na vitabu vyao og vya siri hard copy. Havitolewi hadharani.
Internet Ina mchanganyiko WA conspiracy and bunches of lias. Unaweza kudanganyika sana.
Anyway sio lengo langu kujitutumua hapa.
Najua wengi ukisema masoni wanawaza kupata pesa na kutajirika. There is a price to pay. Hata wao wanaonya usiende kujiunga ukitaka kupata pesa.
Cha msingi Pesa zote za mazingaombwe, hupewi bila kua na source of finance. Lazima uwe na mradi unaoonyesha kua ndio chanzo cha kipato chako. Kupitia mradi, ndipo utakaotumika Kama chanzo cha Pesa na utajiri.
Utaonekana unafanya kazi Kama wengine lakini tofauti yako na wengine, wewe utafanikiwa kuliko wengine. Kwasababu wanachama wanatakiwa kua WA siri(secret society). Ila kwasababu mbalimbali wanajikuta wakifahamika waziwazi. Mwishowe Wanabaki Kua branded as society with secrets.

Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.

Dai akawajibu mashabiki zake kua wamwambie alete huo ushahidi(NotaBene:-,hakumwambia Gwaji directly) Bali Dai aliposti kwa mashabiki na Critics wa wake.

Na hapa Gwaji hakujibu tena. Which means haimuhusu.

Kwasababu Gwaji alikua anasubiri aambiwe direct ili abonyeze kitufe cha double manifestation. It didn't happen anyway.

Probability.
Kama Dai aliwasiliana tena kwa siri na Gwaji na ku-apologize, no one really knows.anything is possible.

Lakini Critics walipaswa kuhamia tena kwa Gwaji kwenda kumuambia kile Dai anakijibu kuhusu yeye Gwaji kwamba hawezi kutaja
Lakini haikutokea.

Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Nina uhakika haujamtaja bure, kuna kitu kuhusu yeye unakikubali. Lakini siwezi kuonyesha kumdharau kwasababu hajanikosea. Kwangu Mimi , he's a working hard person.
 
Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
hiyo robot App unatengenezaje??inaletaje fake views?nipe pseudo code yake mkuu tafadhali
 
unajua vevo haiwezi kuwa vevo pasipo youtube ? ukilijua hili utagundua km mtu ananunua views youtube hata vevo anaweza pia kumbuka vevo ipo chini ya sony na youtube ipo chini ya google so chibu hawezi kuweka video kule kwa sababu hayupo chini ya sony ambao ni mapromota wa vevo
 
mond hajakimbia vevo, kumbuka yy ndo aliwah kuwapa somo wasanii wa tz jins ya kunufaika na vevo(km hufatilii mziki hutojua hili) na ni mond ndo anaongoza kuwa na wimbo wenye views nying kuliko msanii yyte EA, marry you ina 16m. Ila mfanya biashara yyte ukiona ki2 hakina maslah cdhan km utajishughulisha nacho, youtube channel yake ina subscibers laki 7+ unahitaj aendelee kung"ang"ania kupandish video vevo?? inahtaj akili ndogo sana kulielewa hili. Watanzania(hasa mashabk wa Ally kiba) huwa wana maneno kuliko kusapot kaz, seduce me iliiacha mbal sana zilipendwa ila kaangalie ss hiv hizo kaz halaf uone ipi ina views kibao. wcb fans wanakimbiza mwiz kimya kimya
Its true
 
Yaani mtu kasimama kwa kushikwa mkono, mwingine kasimama mwenyewe, aliyeshikwa mkono mnataka tumuone yuko imara zaidi kuliko aliyesimama mwenyewe??

Hapa hata punguwani atashangaa...!!!
Yaani muomba lift (collabo/feat) anamcheka mwenye gari lake.
 
Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..
Pia internet na vitabu vyao og vya siri hard copy. Havitolewi hadharani.
Internet Ina mchanganyiko WA conspiracy and bunches of lias. Unaweza kudanganyika sana.
Anyway sio lengo langu kujitutumua hapa.
Najua wengi ukisema masoni wanawaza kupata pesa na kutajirika. There is a price to pay. Hata wao wanaonya usiende kujiunga ukitaka kupata pesa.
Cha msingi Pesa zote za mazingaombwe, hupewi bila kua na source of finance. Lazima uwe na mradi unaoonyesha kua ndio chanzo cha kipato chako. Kupitia mradi, ndipo utakaotumika Kama chanzo cha Pesa na utajiri.
Utaonekana unafanya kazi Kama wengine lakini tofauti yako na wengine, wewe utafanikiwa kuliko wengine. Kwasababu wanachama wanatakiwa kua WA siri(secret society). Ila kwasababu mbalimbali wanajikuta wakifahamika waziwazi. Mwishowe Wanabaki Kua branded as society with secrets.

Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.

Dai akawajibu mashabiki zake kua wamwambie alete huo ushahidi(NotaBene:-,hakumwambia Gwaji directly) Bali Dai aliposti kwa mashabiki na Critics wa wake.

Na hapa Gwaji hakujibu tena. Which means haimuhusu.

Kwasababu Gwaji alikua anasubiri aambiwe direct ili abonyeze kitufe cha double manifestation. It didn't happen anyway.

Probability.
Kama Dai aliwasiliana tena kwa siri na Gwaji na ku-apologize, no one really knows.anything is possible.

Lakini Critics walipaswa kuhamia tena kwa Gwaji kwenda kumuambia kile Dai anakijibu kuhusu yeye Gwaji kwamba hawezi kutaja
Lakini haikutokea.

Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Nina uhakika haujamtaja bure, kuna kitu kuhusu yeye unakikubali. Lakini siwezi kuonyesha kumdharau kwasababu hajanikosea. Kwangu Mimi , he's a working hard person.
We jamaa unaandika mengi lakini yenye maana 1%.
Any way kila mtu na mtazamo na uelewa wake.
 
Asante, alimradi sijapata ZerO.
Na hapo sikujua kama utasahihisha Kama mtihani.

Usitake nifafanue kwa kina ishu za hatari. Nachojua nimesema ukweli Mchungu.

Wanasema;- Dawa ni chungu kuimeza lakini utapona.
 
So man, don't talk about costs kwa sababu unaonekana hujui how these things work!
yeah sijui but nimefanya assumption za kawaida, hesabu ya kawaida tu Diamond videos hallelujah,history,eneka, fire(gharama kwakuwa wewe unajua how things work kadiria), Ali Kiba Seduce Me ngoma moja, sasa katika akili ya kawaida nani ametumia gharama kubwa hahahah, uwe unasoma vizuri kabla ya kuandika essay za ujuaji mwingi na uongo
 
We jamaa wa wapi wewe?! Hallelujah, History, Eneka na Fire ni ngoma 4 tofauti; sasa unalinganishaje gharama ya video 4 na video 1 ?! Au hata ukitengeneza video 4 mapato yake yanakuwa ni ya video 1?!
 
Hivi kiba kaanza lini mziki jamani lakini y kipindi chote hicho hamkusaport kazi zake Kaja mondi kufanya mapinduzi ya game mnaleta u timu piteni hivi
 
We jamaa wa wapi wewe?! Hallelujah, History, Eneka na Fire ni ngoma 4 tofauti; sasa unalinganishaje gharama ya video 4 na video 1 ?! Au hata ukitengeneza video 4 mapato yake yanakuwa ni ya video 1?!
Akikujibu nishtue...maana full kujitekenya alafu wanacheka wenyewe.
 
Niliwasikia Mwaka 1995, niliwafuatilia rasmi kuanzia mwaka 2007 kupitia magazeti ya Rai yenye kichwa cha Habari ifahamu freemanson na mkakati wa kutawala dunia..
Pia internet na vitabu vyao og vya siri hard copy. Havitolewi hadharani.
Internet Ina mchanganyiko WA conspiracy and bunches of lias. Unaweza kudanganyika sana.
Anyway sio lengo langu kujitutumua hapa.
Najua wengi ukisema masoni wanawaza kupata pesa na kutajirika. There is a price to pay. Hata wao wanaonya usiende kujiunga ukitaka kupata pesa.
Cha msingi Pesa zote za mazingaombwe, hupewi bila kua na source of finance. Lazima uwe na mradi unaoonyesha kua ndio chanzo cha kipato chako. Kupitia mradi, ndipo utakaotumika Kama chanzo cha Pesa na utajiri.
Utaonekana unafanya kazi Kama wengine lakini tofauti yako na wengine, wewe utafanikiwa kuliko wengine. Kwasababu wanachama wanatakiwa kua WA siri(secret society). Ila kwasababu mbalimbali wanajikuta wakifahamika waziwazi. Mwishowe Wanabaki Kua branded as society with secrets.

Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.

Dai akawajibu mashabiki zake kua wamwambie alete huo ushahidi(NotaBene:-,hakumwambia Gwaji directly) Bali Dai aliposti kwa mashabiki na Critics wa wake.

Na hapa Gwaji hakujibu tena. Which means haimuhusu.

Kwasababu Gwaji alikua anasubiri aambiwe direct ili abonyeze kitufe cha double manifestation. It didn't happen anyway.

Probability.
Kama Dai aliwasiliana tena kwa siri na Gwaji na ku-apologize, no one really knows.anything is possible.

Lakini Critics walipaswa kuhamia tena kwa Gwaji kwenda kumuambia kile Dai anakijibu kuhusu yeye Gwaji kwamba hawezi kutaja
Lakini haikutokea.

Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Nina uhakika haujamtaja bure, kuna kitu kuhusu yeye unakikubali. Lakini siwezi kuonyesha kumdharau kwasababu hajanikosea. Kwangu Mimi , he's a working hard person.
Duh! Halafu eti ndo unajiita Truths wewe!!! Nimekutandika maswali kuhusu Vevo umeshindwa kujibu hata moja kwa sababu, huwa hujui unachoongea bali unaongea vya kusikia!!!

Kwahiyo msingi wa kuamini kwako kwamba Diamond ni Freemason ni kwa sababu Gwajima alisema!!! Eti Gwajima ana video kuthibitisha kwamba Diamond ni Freemason!! Tell me something Mr. Truths!! Huyo Gwajima ana video za Freemasons wote au ya Diamond peke yake?!

Also, Freemason wanaendesha mambo yao in closed doors! Huyo Gwajima alipata vipi hiyo video?! Au na yeye ni mmoja wao?! Oh! Utasema alipewa! Huyo ambae alitengeneza hiyo video ni kwa madhumuni gani? Freemasons ipo kisheria! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kutengeneza video ya "kufichua" siku alipojiunga as if kujiunga na Freemason ni kwenda kinyume na sheria?

I know, nimekuonea kwa maswali ambayo katu hutakaa ukaweza kuyajibu!!!! Ni kama ulivyoshindwa kuyajibu maswali kuhusu Vevo!!!

And what did you just say?! Source yako nyingine ni magazeti ya Shigongo! Kwamba, hata magazeti ya Shigongo yaliandika jamaa ni Freemasons! Serious?!
 
Asante, alimradi sijapata ZerO.
Na hapo sikujua kama utasahihisha Kama mtihani.

Usitake nifafanue kwa kina ishu za hatari. Nachojua nimesema ukweli Mchungu.

Wanasema;- Dawa ni chungu kuimeza lakini utapona.
Huna cha kutotaka kufafanua kwa kina wewe wakati umeshasema source yako ni Gwajima ambae alishindwa kutoa huo ushahidi na source yako nyingine ni magazeti ya Shigongo!!!

Yaani hadi sasa hujafahamu Gwajima alikuwa anatumia technique ya kuwavuta watu wafuatilie ibada zake kupitia Youtube?! Kwanini kila kitu alikuwa anasema "nitamwaga kila kitu jumapili na usisahau kufuatilia kupitia Youtube!" Watu kama nyinyi ndo mkawa mnajazana Youtube kusubiri akitoa ushahidi wa Diamond kuwa Freemason!!!
 
Kwangu Gwajima ni source Valid kabisa.
Kwa yeye kuongea KANISANI kwake kila jumapili alishalitolea ufafanuzi anaongea na wana familia wake. Japo sisi wengine tunapata hizi footage na audios kupitia mitandaoni.

Gwaj ameshathibitisha kwa utafiti kua Bashite kafoji cheti. And it happens to be true.Resources za kufanyia utafiti anazo Kama Pesa na logistics. ni msomi anaheshimika kwa PhD yake.

Hata hilo la Diamond unalielezea very wrong ili kupotosha uonekane huko sahihi.
Only simple minds wata fall for this. Gwaj Hakuwahi KUHAHIDI kutoa ushahidi WA diamond kua Freemasons. That's utterly wrong.!!! Kama hujui am a hujaelewa kitu ni bora useme. Ili ufafanuliwe. Si ajabu wengine kubishana ni professional yenu.

Swala la Kutumia techniques ili kupata audience, nataka ufahamu hii ni Taaluma Kama Taaluma nyinginezo. Sio kila MTU anaweza. Unaweza ongea taarifa isiwafikie walengwa(there are so many communication barriers)

Pili kufanya hivyo ni kwasababu anajiamini kwa kile anachokisema.
Huwezi kwenda mahakamani ukamshinda for any case of defamation.

Shigongo simjui na siko interested naye.
Naona unamtaja kwakua ulimfuatilia hadi akakuathiri kwa informations zake. Nakupa pole Sana.
Magazeti ya shigongo ni yapi, yanaitwaje ambayo yanakiuka kanuni kwa kusema uongo pasipo kufungiwa na jamhuri?

Kama mondi wako kavuliwa nguo na kashachutama. Sijui utafanyaje.?
Be hope full cause, Time heals.

Naona umeanza kukosa hoja.

Labda useme, wewe mwenyewe ni nini chanzo cha taarifa zako. Uziweke hapa ili tujue wewe ni witty kiasi gani
Na uje na ushahidi jinsi gani Gwaji alidanganya.

Otherwise I rest my case.. Ova.
 
Kwangu Gwajima ni source Valid kabisa.
Kwa yeye kuongea KANISANI kwake kila jumapili alishalitolea ufafanuzi anaongea na wana familia wake. Japo sisi wengine tunapata hizi footage na audios kupitia mitandaoni.

Gwaj ameshathibitisha kwa utafiti kua Bashite kafoji cheti. And it happens to be true.Resources za kufanyia utafiti anazo Kama Pesa na logistics. ni msomi anaheshimika kwa PhD yake.
Very funny indeed!!!!

Hata hilo la Diamond unalielezea very wrong ili kupotosha uonekane huko sahihi.
Only simple minds wata fall for this.
Kwahiyo ya kwako ya kuamini ambacho hakijathibitishwa ndo great mind yenyewe?!

Mungu tuokoe waja wako!!!

Gwaj Hakuwahi KUHAHIDI kutoa ushahidi WA diamond kua Freemasons. That's utterly wrong.!!! Kama hujui am a hujaelewa kitu ni bora useme. Ili ufafanuliwe. Si ajabu wengine kubishana ni professional yenu.
What did you just say?! Kumbe Gwajima hakuahidi? Hebu jisome tena ulichokiandika hapo kabla:
Mondi alimuomba gwaji msamaha kwa kumtaja.
Gwaji akasema amemsamehe.
Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Kama hakuahidi wewe hilo suala la kwamba Gwajima alisema "...hatasema tena!" umelitoa wapi?! Jambo ambalo hakuahidi kwanini aseme "asingesema tena?"

Hivu unafahamu maelezo yako yana hadhi ya kuongeza uhai ikiwa ni kweli kucheka kunaongeza uhai? Kupata hivi vichekesho natakiwa kutuma neno gani na kwenda kwenye namba ipi?!

Halafu ngoja, hapa chini umesemaje?

Shigongo simjui na siko interested naye. Naona unamtaja kwakua ulimfuatilia hadi akakuathiri kwa informations zake. Nakupa pole Sana. Magazeti ya shigongo ni yapi, yanaitwaje ambayo yanakiuka kanuni kwa kusema uongo pasipo kufungiwa na jamhuri?
Hivi unafahamu kwamba hapo kabla ulisema:
Kuhusu Eric shigongo.
Mimi sio fan wa huyu MTU wakati wowote ule katika maisha yangu Lakini namheshimu sana kupitia sifa nzuri nilizowahi kuzisikia kuhusu kazi zake za utunzi wa hadithi za novels, japo sijawahi kusoma hadithi yake yoyote ile. Na muda unavyoyoyoma sioti kuja kusoma chochote tena.
Oh! Kwahiyo hapa napo ukaanza kumheshimu kupitia sifa mzuri unazozisikia bila kujiridhisha mwenyewe ikiwa hizo sifa ni za kweli au hapana?! Btw, mtu ambae huna interest nae inakuaje tena unakaa chini kusikiliza ukisimuliwa "sifa zake mzuri?"

No wonder unaweza kuamini habari za u-Freemason kwa mtu kusema tu "nitatoa ushahidi kwamba Diamond ni Freemason" na wala hasitoe lakini unaamini tayari ni Freeman!!!

Hebu ngoja!!! Hivi tafsiri ya Kiswahili ya Truths ni ipi hasa?!
Kama mondi wako kavuliwa nguo na kashachutama. Sijui utafanyaje.?
Kama unaamini amevuliwa, nakuomba tafadhali, tena sana sana! Nakuomba unijibu post yangu [HASHTAG]#165[/HASHTAG] or else, hicho nacho ni kichekesho ambacho ningependa kufahamu natakiwa kutuma neno gani kwenda namba ipi ili nipate vichkesho na vituko vingine zaidi!!!!
Na uje na ushahidi jinsi gani Gwaji alidanganya.
Eti?! To be honest, kusahau uliyoandika more than 24 hours earlier inaweza kuvumilika lakini unaposahau kitu ulichosoma muda huo huo; kwa hakika panahitajika upako kuweza kuvumilia!!

Hiki ndicho niliandika kuhusu Gwajima:
Kwahiyo msingi wa kuamini kwako kwamba Diamond ni Freemason ni kwa sababu Gwajima alisema!!! Eti Gwajima ana video kuthibitisha kwamba Diamond ni Freemason!! Tell me something Mr. Truths!! Huyo Gwajima ana video za Freemasons wote au ya Diamond peke yake?!

Also, Freemason wanaendesha mambo yao in closed doors! Huyo Gwajima alipata vipi hiyo video?! Au na yeye ni mmoja wao?! Oh! Utasema alipewa! Huyo ambae alitengeneza hiyo video ni kwa madhumuni gani? Freemasons ipo kisheria! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kutengeneza video ya "kufichua" siku alipojiunga as if kujiunga na Freemason ni kwenda kinyume na sheria?
Hakuna niliposema Gwajima amedanganya bali nimekuuliza maswali kuhusu Gwajima na hiyo video! Kinyume chake, umeshindwa kujibu swali lolote miongoni mwa yote niliyokuuliza! Hata hivyo, sishangai kutojibu lolote manake nilishafahamu kabla kwamba usingekuwa na ubavu wa kujibu na ndio maana hoja hiyo nili-conclude kwa kusema:
I know, nimekuonea kwa maswali ambayo katu hutakaa ukaweza kuyajibu!!!! Ni kama ulivyoshindwa kuyajibu maswali kuhusu Vevo!!!
And finally, nilichosema kikadhihiri manake umeshindwa kujibu na badala yake umeweka jibu la uongo kwamba nimesema Gwajima amedanganya!!!

Jombaa, hapa hatutoi maksi kwahiyo huna sababu ya kubahatisha jibu ili nisipokuwa makini nikupe alama ya pata!!!! Nondo ikigoma, potezea kama ulivyopotezea issue ya Vevo & Youtube!!
Labda useme, wewe mwenyewe ni nini chanzo cha taarifa zako. Uziweke hapa ili tujue wewe ni witty kiasi gani
Dalili kwamba maneno yako chanzo chake ni wewe mwenyewe ni hii hapa chini:
Gwaj Hakuwahi KUHAHIDI kutoa ushahidi WA diamond kua Freemasons.
Kumbe Gwajima wala hakuahidi lakini unakuja hapa na kusema:
Gwaji akasema amemsamehe. Na kwamba hatasema tena jinsi Dai alivyojiunga na masonic.
Mtu hajaahidi kwamba angesema, sasa wewe umetoa wapi madai ya kwamba alisema "asingesema tena!" How come useme "asingesema tena" wakati hakuahidi kusema?

Mimi unataka nikuwekee chanzo cha hoja ipi?! Au u

Usiwe unaongea maneno yako ndugu!!!!
Otherwise I rest my case.. Ova.
Is this a genius way of admitting your arguments are baseless?! You don't rest your case Sir, bali ni kwamba HUNA HOJA!

Nimejaribu kutafuta a more friendly word(s) to replace maneno HUNA HOJA but I failed. Kama una friendly phrase kwa hayo maneno, then recite them wakati unasoma maneno HUNA HOJA so that you don't feel so embarrassing or even harassed!
 
Back
Top Bottom