Oh God, Mr. Truth!!!
Unajidhalilisha ndugu na unakuwa kiroja kwa mtu anayejiita Truth halafu ana-post mambo asiyoyafahamu!!! Huwezi kuwa mkweli wakati unaongea jambo usilolijua!!!
Hivi kabisa unaamini unaweza kununua views Youtube halafu ukabaki salama?! Hivi unaelewa wewe watu wanaposema kununua Views Youtube?! Do you know anything about that subject Sir?
Or, kumbe Mange amesema!!!!
Mange anayemsifu Kiba kuwa na account Vevo na Diamond ameshindwa kufanya hivyo!!
Hivi kabisa kabisa unaamini ile Seduce Me inayokuwa accessed from anywhere duniani ipo kwenye akaunti ya Vevo?! Serious?! Jomba, usidhani kuwa Marekani ndo kujua kila kitu! Huyo Mange nae ni mshamba tu asiyejua lolote kuhusu Vevo!!!
Ili na wewe usije ukaendelea kujitia aibu mbele ya watu wanaojua haya mambo ngoja nikusaidie ili hatimae uwe unaongea TRUTH as per your ID!!!
Mosi, you can't access Vevo from Tanzania! Ile Seduce Me inayokuwa accessed from Tanzania haipo Vevo account bali ipo Vevo Youtube Channel account!!!
Lemme show you the difference!
Hapa chini ni Seduce Me iliyopo Vevo Youtube Channel Account:
View attachment 600248
Logo ya Homapage ni ya nani hapo juu? Kama una macho, utaona ni logo ya Youtube kuonesha hiyo ngoma inakuwa accessed from Youtube na sio Vevo! Kwa maana nyingine, hapo ipo Youtube na sio Vevo!
Na sasa hebu tuiangalie Seduce Me iliyopo Vevo account:
View attachment 600258
Look, wakati webpage logo ya mwanzo ni ya Youtube kuonesha kwamba hiyo ngoma ipo Youtube, webpage logo ya pili ni ya Vevo kuonesha hiyo ndiyo ipo Vevo. Hata interfaces zao zipo tofauti!!
But look again! Wakati juu kabisa kuna "Likes" 58K, yaani zaidi ya 58,000 kutoka Youtube, hapo chini iliyopo Vevo kuna Likes 37 TU!!! Hiyo inaonesha wazi kwamba Seduce Me inakuwa accessed more from Youtube na sio from Vevo na ndio maana huko Vevo kuna Likes 37 TU!!!
I can bet, walio-access from Vevo hawawezi kufika hata 10K.
Hizo Views 6.4 Million unazoona vevo ni kwa sababu over 99% zinatokea Youtube na sio Vevo!!!
Aidha, hiyo Vevo Youtube channel account inakuwa monitored na Youtube na sio Vevo!!! Na ndio maana hata zilipotokea tuhuma za udanganyifu wa Views kwenye akaunti ya Lady Gaga; hizo fake views zilifyekwa na Youtube na sio Vevo!!!
Kwahiyo hiyo mnayoita eti Vevo account ni Youtube Account iliyofunguliwa kwenye Youtube Channel ya Vevo!!!
Oh! Nimekumbuka! Unadai eti:
Bado unaamini kwamba wewe sio mtu wa kujadili upupu?! Again unadai eti:
Now tell me! Hivi hapo aliyefumaniwa na Mange ni sisi au wewe uliyelishwa viroja vya Mange nawe ukavibeba kama vilivyo!!!!
Oh!! Lazima utakuwa mfuasi wa Mange wewe manake siku kuu ya wafuasi wa Mange ni kufuata kila anachosema!!! But you know what! Jifunze kutafuta ukweli ili uishi kwenye user ID yako
Truths manake uliyoongea ni uongo mtupu!!!!
Na labda nikupe darasa fupi la mwisho!!! Youtube wana system nyoko ya ku-detect any suspicious activity!!! Video inayo-trend #1 huku ikiwa na views wengi ndani ya muda mfupi katu isingechukua saa 12 kabla wale views hawajafyekwa!!!!!
Biashara kubwa ya Google/Youtube ni matangazo. Miongoni mwa hayo matangazo ni ya kampuni kubwa za IT huko mbele!! Haya makampuni ya IT katu yasingekuwa yanapeleka matangazo sehemu ambayo matangazo hayo yangekuwa yanaangalia na Fake Viewers!
Again, bado unaamini ulichokuwa unasema sio upupu?! Aliyefumaniwa na Mange hapo ni sisi au wewe uliyelishwa upupu!!!