AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

hivi sauti soul ft alikiba ile ngoma yao yenye zaidi ya mwaka sasa in viewers ngapi?
 
Mosi, capital letter means shouting, so stop shouting for no reason!

Pili, mashabiki wa Kiba kwavile hamna rekodi ndo mmebaki kujitengenezea rekodi wenyewe! Mara oh, ndie mwenye views wengi Vevo, mara oh, video zake ziko hivi mara vile!

Eti video ya msanii wa Afrika Mashariki iliyopata views nyingi akiwa peke yake! Hakuna chart kama hiyo duniani! Narudia, duniani hakuna chart wala tuzo ya mtu aliyefanya kazi peke yake kwahiyo acheni viroja!!

Tatu, kwamba eti huyu ana-invest nyingi na yule ana-invest kidogo ni kigezo kingine cha hovyo cha Team Kiba kwa kudhani views nyingi za Diamond zinatokana na video zenye gharama!!!

And trust me, hizo video za Kiba unazodhani sio za gharama sana basi kwenye vitabu usishangae ukakuta ndio very expensive kuliko video za Diamond! The reason ni kwamba, kazi za Kiba zinapitia kwenye official documentation za Sony! Unaweza kukuta script imeandikwa na mtu mwingine na hapo charge yake itakuwa mara 10 ya scripts za Diamond zinazoandikwa kisela tu!

Hata kama ameandika mwenyewe, unaweza kukuta inapitishwa kuwa polished! Hiyo gharama ya ku-polish peke yake inaweza kuwa mara mbili ya original script za akina Diamond!

Make Up Artist atakuwa ni yule very official na ma-invoice kibao wakati Diamond kazi zake hazina hayo maujinga! Na Label kubwa wanafanya hivyo makusudi ili kupunguza mapato ya msanii na ndio maana wasanii wengi chini ya label huwa wanalalamikia!

So man, don't talk about costs kwa sababu unaonekana hujui how these things work!


Diamond anasikika sana kwenye media sio kwa sababu eti anatengeneza video za gharama bali anajiamini! Haogopi kutoa ngoma! Mashabiki wa Kiba mnajidanganya kwamba ngoma za Kiba zinaishi kumbe ukweli ni kwamba hajiamini! Alipotoa Aje akabaki kuitengenezea remix tu kwa sababu hakuwa na uhakika wa kutoa ngoma ya kuifunika Aje and of course, hata hii Seduce Me ni full promo lakini haifiki hata nusu ya Aje!!

Diamond haogopi kwamba ngoma itafanya vizuru au hapana! So long ana track, ata-release tu kwa sababu that's how wasanii wanaojiamini ndicho wanachofanya!

Hata Dogo Slay anapiga weka bandua far away from Kiba! Mwaka huu peke yake ameachia ngoma tatu au nne! Unataka kusema Dogo Aslay anawekeza kuliko Kiba?!

Baada ya Dogo Aslay kuachia ngoma mfululizo, mwana Yamoto mwenzake Beka Flavor akasema wazi kwamba Aslay akiendelea na hii tabia na yeye ataanza kuachia ngoma bila kujali ikiwa Aslay ametoa ili wakutane huko huko! Baada ya hiyo kauli, haikupita wiki Dogo Aslay akaachia ngoma nyingine kuonesha haogopi ushindani!!!

Ali Kiba hana gut ya aina hiyo!
 
Kwahiyo kama kuna Neyo ndo Views hawawezi kununuliwa?! Nyie jamaa mna viroja!!!

Kwamba eti wamekuja kuwaangalia Morgan Heritage ni kiroja cha mashabiki wa Kiba kinachotokana na kutofahamu muziki wala kuchambua mambo kwa kutumia akili za kawaida!!

Ngoma ya Hallelujah imebamba kupitia social networks kwa maana, wanaotumia social networks ndio wa kwanza kufahamu. Aidha, wakati Diamond Platnumz ana Followers 4Million (Plus), Morgan Heritage wana followers chini ya laki na nusu!!!

Kwahiyo unaaamini kabisa hao views wanatoka kwa Morgan Heritage wenye followers wasiofika hata laki 2?! Wamepata wapi taarifa za kwamba Morgan Heritage ameshirikishwa ngoma?

Angalia posts za nyuma za Morgan Heritage! Comments hazifiki hata 50 lakini zilizohusu ngoma ya Diamond ndio zenye comments nying

But even more important, mwaka jana Morgan Heritage walichukua Grammy Awards kupitia Reggae na ngoma yao ambayo ilibeba album ni Wanna Be Loved!
Hiyo ngoma hata Views laki moja haijafika!!!!

Subscribers hawajafika hata elfu 10!!!

Moja ya ngoma zao zingine zilizofanya vizuri ni Selah lakini na yenyewe hata views 1M haijafika!!

Reggae Night ni 2017 hit na hadi sasa ina views chini ya laki moka ingawaje ni ya tangu January!

Perfect Love Song ya mwaka 2013 nadhani ndiyo yenye Views wengi zaidi lakini na yenyewe hata Views 3Million haijafika!

Sasa hao mashabiki wa Morgan Heritage waliojaza Views kwenye Hallelujah how come washobokee ngoma walizoshirikishwa badala ya ngoma walizofanya wenyewe?!

Tumieni common sense kujenga hoja manake kinyume chake mnaonekana viroja!!!
 
Akikujibu nitag
 
Kwani hawafahamu kwamba hata akitoa as solo bado anawakimbiza!!!

Nitampata Wapi kaifanya peke yake na ina Views 15.5 Million! Hakuna ngoma hata moja ya Kiba iliyofikisha hiyo idadi!

Mdogomdogo ina Views 11.6 Million! Hii ndiyo inafanana idadi ya Views na Mwana ya Ali Kiba ambayo ndio ngoma peke ya Kiba kuvuka 10 Million Views.

Utanipenda kafanya peke yake na inakaribia Views 11 Million. Ni Mwana peke yake kutoka makabati ya Kiba ndiyo inaipita Utanipenda!!!!

Mawazo ni moja ya hit zake za zamani lakini ina Views karibu 4Million, Moyo wangu zaidi 3.6M, Kamwambie 2.8M lakini sidhani kama kuna hit yoyote ya Kiba ya miaka ile inayofikisha Views 3M.

Halafu kama wanadhani kumshirikisha msanii wa nje ndo kupata views wengi sijui kwanini hadi leo Aje haijafika hata Views 10 !!!
 
team kiba hatuishi kutapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoo Kaka mkubwa! Manake pale ilikuwa ndo pa kuitia adabu Seduce Me!!
 
Akikujibu nitag
Na kamwe hatajibu!! Sio kwamba ana kiburi ndio maana hatajibu bali hana ubavu wa kujibu hoja anazopewa!!Huyu jamaa mara ya kwanza alijificha kwenye kichaka cha dini; kwamba Diamond anadhalilisha Ukristo!!! Nikadhani ni kweli mkereketwa wa dini yake na hivyo hakupendezewa matumizi ya neno Hallelujah!! Lakini baadae nikagundua kumbe ni Team Kiba aliyejificha kwenye kichaka cha dini!!!

Na hilo la matumizi ya neno Hallelujah hadi sasa hajanijibu ingawaje saa kadhaa zimeshapita!!!
 
Kapokee book 7 yako kwa domo maana sio kwa kuingia chaka huku. Yaani wewe ni chaka la shamba, hakuna unachokijua chochote kwenye ulimwengu wa hacking zaidi ya kupigiwa theoretical stories.
 
Mwambie Mond "AJE" pekee yake VEVO asije na collabo/featuring.
 
Sasa kama ni hivyo usiseme Domo tajiri kuliko Alikiba coz kama ni nyumba hata huyo Kiba anazo, kama ni magari hata Alikiba anayo. Tofauti ni kwamba mmoja anapenda masifa kutangaza, na mwingine hajitangazi
Mkuu akuna superstar asie julikana vitu alivyonavyo, ata ukificha watu watajua tu...........
 
Mkuu akuna superstar asie julikana vitu alivyonavyo, ata ukificha watu watajua tu...........
Unafawa Mali za mastàa wangapi hadi unatoa hitimisho hilo.We futwatilia mziki wake mengiñe sio type yake
 
Historia insema, Mwanaume mmoja (Alikiba ~ Seduce me) mwenye nywele fupi aliwapasua vichwa wanaume 6 (domo band) wenye Afro zao.
 
Mwambie Mond "AJE" pekee yake VEVO asije na collabo/featuring.
Kiba afanyi collabo coz anaweza umbuka mkuu mond anajiamini ndo maana anatuwakilisha vizuri wewe kaa hapo usubiri mond aje vevo utazeeka!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…