Narudia, wewe jamaa hujui lolote bali ni msukule wa Mange! Pia narudia, VEVO haipatikani Tanzania na hicho unachoamini ni VEVO Account ni mirror Account iliyopo Youtube na inatumia masharti ya Youtube na ndio maana, hata Views wa Lady Gaga walifyekwa na Youtube na sio Vevo!!!
Pure Vevo account hivi ndivyo inavyoonekana:
View attachment 599576
Lakini kwa wimbo huo huo, unapatikana Youtube Channel na interface yake ni hii:
View attachment 599577
Zaidi ya 90% ya Views wa Ali Kiba wanatokea kwenye Youtube Channel na sio Vevo Account!!!
Halafu wewe na wenzako mlivyo mambumbu mnadhani kuwa VEVO ni very special wakati hata Bongo wapo wasanii wenye account Vevo though zinazokuwa accessed ni Vevo Youtube Channel. Na hawa walipata hizo akaunti hata kabla ya Kiba!
It's all about Business! Uchague Vevo upate sifa za Kijinga kutoka kwa wasiojua kama wewe au uchague Youtube!!!
The difference, ukiwa na account Youtube, Google wakishachukua share yao (ya matangazo) kinachobaki ni cha Youtubers kwa sababu, advertizers wanalipa moja kwa moja Google/Youtube.
Kinyume chake, kwa upande wa VEVO, advertisers wanalipa kwa Vevo through Youtube Channel. Na kwavile Vevo Youtube Channel inatumia Platform ya Youtube which means, VEVO nao wanawalipa Youtube na hivyo kuongeza mlolongo wa cost unaopunguza mapato ya msanii!
Mbaya zaidi, kwa VEVO including hizi mirror account kuna mtu katikati. Which means, mpunga wa matangazo ukishakusanywa hauendi moja kwa moja kwa msanii tofauti na Youtube ambao, Google/Youtube wakishachukua chao, hakuna tena mtu wa kati na mpunga unaenda moja kwa moja kwa msanii!!!
Kwahiyo endelea kushangilia vitu usivyovijua hivyo hivyo!!! Na kwa akili yenu mnadhani Vevo ni kubwa kuliko Youtube wakati hao VEVO wanategemea Youtube Channel!!