AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Tuachane na viewz vipi kuhusu subscribers.....maana na zenyewe kapitwa japo mond hayupo active sana na vevo.
Ni aibu kuomba lift (domo collabo/feat.) halafu unashangilia kumpita anayeendesha gari yake mwenyewe (Alikiba ~Seduce me)
 
Hivi number one remix haikufanyika kwa kuomba lift ya Davido eeh? Hivi kutengeneza ma skendo ya wanawale mtandaoni ndio promo ya domo eeh?
Hivi mwalimu wako wa kiswahili ndio alikufundisha hivyo juu ya matumizi ya Herufi kubwa eeeh?
 
Watoto wa k/koo wengi walikimbia shule akiadithiwa kitu kwny kijiwe hapo livingstone anakuja kuandika jf hajui humu wenzie wanajua vzr
 
Watoto wa k/koo wengi walikimbia shule akiadithiwa kitu kwny kijiwe hapo livingstone anakuja kuandika jf hajui humu wenzie wanajua vzr
Kama pesa haijakuzoea ukiipata unakuwa na tabia za domo.
 
Mkuu akuna superstar asie julikana vitu alivyonavyo, ata ukificha watu watajua tu...........
Ndio maana sisi tunajua alichonacho Alikiba, sio yule anayenunua pool table anaposti histogram eti kaongeza asset.
 
Kapokee book 7 yako kwa domo maana sio kwa kuingia chaka huku. Yaani wewe ni chaka la shamba, hakuna unachokijua chochote kwenye ulimwengu wa hacking zaidi ya kupigiwa theoretical stories.
Narudia, wewe jamaa hujui lolote bali ni msukule wa Mange! Pia narudia, VEVO haipatikani Tanzania na hicho unachoamini ni VEVO Account ni mirror Account iliyopo Youtube na inatumia masharti ya Youtube na ndio maana, hata Views wa Lady Gaga walifyekwa na Youtube na sio Vevo!!!

Pure Vevo account hivi ndivyo inavyoonekana:



Lakini kwa wimbo huo huo, unapatikana Youtube Channel na interface yake ni hii:




Zaidi ya 90% ya watu wanao-access video za watu kama akina Kiba wanatokea kwenye Youtube Channel na sio Vevo Account!!!

Halafu wewe na wenzako mlivyo mambumbu mnadhani kuwa VEVO ni very special wakati hata Bongo wapo wasanii wenye account Vevo though zinazokuwa accessed ni Vevo Youtube Channel. Na hawa walipata hizo akaunti hata kabla ya Kiba!

It's all about Business! Uchague Vevo upate sifa za Kijinga kutoka kwa wasiojua kama wewe au uchague Youtube!!!

The difference, ukiwa na account Youtube, Google wakishachukua share yao (ya matangazo) kinachobaki ni cha Youtubers kwa sababu, advertizers wanalipa moja kwa moja Google/Youtube.

Kinyume chake, kwa upande wa VEVO, advertisers wanalipa kwa Vevo through Youtube Channel. Na kwavile Vevo Youtube Channel inatumia Platform ya Youtube which means, VEVO nao wanawalipa Youtube na hivyo kuongeza mlolongo wa cost unaopunguza mapato ya msanii!

Mbaya zaidi, kwa VEVO including hizi mirror account kuna mtu katikati. Which means, mpunga wa matangazo ukishakusanywa hauendi moja kwa moja kwa msanii tofauti na Youtube ambao, Google/Youtube wakishachukua chao, hakuna tena mtu wa kati na mpunga unaenda moja kwa moja kwa msanii!!!

Kwahiyo endelea kushangilia vitu usivyovijua hivyo hivyo!!! Na kwa akili yenu mnadhani Vevo ni kubwa kuliko Youtube wakati hao VEVO wanategemea Youtube Channel!!
 
Unarukaruka. Tuliza akili. Maana hayo unayoyafafanua tunayajua kabla haujaanza kutumia smartphone.
Swali. Msanii gani Tanzania zaidi ya Alikiba aliyeko VEVO aliyevunja rekodi ya 1 M VIEWS ndani ya 48 hrs?
 
Kiba afanyi collabo coz anaweza umbuka mkuu mond anajiamini ndo maana anatuwakilisha vizuri wewe kaa hapo usubiri mond aje vevo utazeeka!!!!
Hebu soma tena ulichokiandika maana unaweza uka edit etii.
 
Unarukaruka. Tuliza akili.
Swali. Msanii gani Tanzania zaidi ya Alikiba aliyeko VEVO aliyevunja rekodi ya 1 M VIEWS ndani ya 48 hrs?
We jamaa ni limbukeni! Kwanini usiulize msanii gani Youtube aliyevunja rekodi ya Kiba na Diamond? Kwani miongoni mwa wasanii wanaotumia Vevo Youtube account ni wangapi wana historia ya kupata views wengi?! Yaani hadi sasa hufahamu kwamba hao views wanakuwa accessed from Youtube?!

Duh!!! We jamaa unastahili kabisa kuwa shabiki wa Mange manake hata ufahamu wa mambo ya kawaida hauna! Usidhani Vevo ni very special

Huyo Kiba kama ni special namna hiyo huko Vevo mbona amezidiwa subscribers na Diamond ambae ametumia Vevo youtube channel mara moja tu?!
 
Ahaa ukitaka kutuliza maumivu ya kichwa katizame seduce me ya Alikiba.

Na ukiona matusi mtaji waombe kabisa mods msamaha ili wasikurudishe Jan 2018.
 
YouTube na VEVO wanamlipa mtu tokana na viewers JE WAMERUHUSU WASANII KUFANYA UDANGANYIFU ILI WAWALIPE PESA NYINGI ILI HALI KWAO VEVO na YOUTUBE ni hasara,Watu acheni masihara wasingekuwa ease....... Hivyoooooo
 
Inaonesha hujui kitu kuhusu VEVO. dmond aliitwa kusign VEVO akakataa akidai malipo ni kidogo tena akasema Siwezi kuwa kukubali kusifiwa kisa npo VEVO huku naumia moyoni LA haha! Mond anadai VEVO ikija na malipo mazuri nasign. Kama unakumbuka mond kukataa kusign mkataba sababu ya malpo madogo sio Mara ya kwanza. Kiba alishawahi Fanya show ya bure London km unakumbuka
 
Mwanume mmoja mwenye nywele fupi (Alikiba ~ Seduce me) kawapasua vichwa wanaume 6 (domo band) wenye afro zao.
Taja ngoma moja ya Kiba ambayo imeifikia au angalau kuikaribia kwa Views ngoma ya Nitampata Wapi ambayo ameimba peke yake!!

Nitampata Wapi ina views above 10M
Unanipenda ina Views above 10M
Mdogo mdogo ina views above 10M.

Na zote hizo kaimba peke yake!! Na wewe taja ngoma za Kiba zilizofika 10M Views and above!

But all in all, inawezekana hapa nabishana na mtu ambae hata ABC ya haya mambo hana kabisa! Ili nisiendelee kupoteza muda wangu; hebu niambie ubora uliopo kwenye Vevo Youtube channel account compared to pure Youtube channel account huku msisitizo ukizingatia mada ya hapa!!
 
Enhee ilifikisha views 1 M ndani ya 48 hrs au baada ya wiki kadhaa?
 
Huyo unayemwambia hayo ni ama ameamua tu kuleta ligi za kijinga au uelewa wake ni mdogo!!!

Nimempatia hadi namna ya udadavuaji wa mapato kati ya Youtube na Vevo! Pesa kupitia Vevo inapita kwenye mikono mingi wakati Youtube hakuna mikono mingi na ndio maana malipo yanakuwa mazuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…