AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Maneno meng alafu pumba tupu.
 
Maneno meng alafu pumba tupu.
Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.

Akikoselewa dai, mnaanza kulialia eti wivu.

Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
 
We jamaa una viroja sio kidogo!!!

Eti freemasons!

Eti anatakatisha pesa

Eti amezaa na wanawake kibao

Yaani madai ya hovyo kabisa!!!

Lini aliomba radhi kwa kumtetea Bashite? Huyo Mange anayefanya watu wawe Misukule hakum-support Bashite siku anaanza kutaja list ya "wauza unga" lakini siku alipomtaja Wema ndo akageuka na watu kama maboya vile wakawa mnamshabikia!! Which means, kama asingemtaja Wema bado Mange angeendelea kum-support Bashite!!

Btw, ni lini huyo Wema alinunua gari lakini kwa kutafuta kiki wakasema amenunua Diamond? Wema huyu huyu ambae alishindwa hata kulipa bili ya maji na umeme, au?
 
Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.

Akikoselewa dai, mnaanza kulialia eti wivu.

Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Oh God, Mr. Truth!!!

Unajidhalilisha ndugu na unakuwa kiroja kwa mtu anayejiita Truth halafu ana-post mambo asiyoyafahamu!!! Huwezi kuwa mkweli wakati unaongea jambo usilolijua!!!

Hivi kabisa unaamini unaweza kununua views Youtube halafu ukabaki salama?! Hivi unaelewa wewe watu wanaposema kununua Views Youtube?! Do you know anything about that subject Sir?

Or, kumbe Mange amesema!!!!

Mange anayemsifu Kiba kuwa na account Vevo na Diamond ameshindwa kufanya hivyo!!

Hivi kabisa kabisa unaamini ile Seduce Me inayokuwa accessed from anywhere duniani ipo kwenye akaunti ya Vevo?! Serious?! Jomba, usidhani kuwa Marekani ndo kujua kila kitu! Huyo Mange nae ni mshamba tu asiyejua lolote kuhusu Vevo!!!

Ili na wewe usije ukaendelea kujitia aibu mbele ya watu wanaojua haya mambo ngoja nikusaidie ili hatimae uwe unaongea TRUTH as per your ID!!!

Mosi, you can't access Vevo from Tanzania! Ile Seduce Me inayokuwa accessed from Tanzania haipo Vevo account bali ipo Vevo Youtube Channel account!!!

Lemme show you the difference!

Hapa chini ni Seduce Me iliyopo Vevo Youtube Channel Account:


Logo ya Homapage ni ya nani hapo juu? Kama una macho, utaona ni logo ya Youtube kuonesha hiyo ngoma inakuwa accessed from Youtube na sio Vevo! Kwa maana nyingine, hapo ipo Youtube na sio Vevo!

Na sasa hebu tuiangalie Seduce Me iliyopo Vevo account:



Look, wakati webpage logo ya mwanzo ni ya Youtube kuonesha kwamba hiyo ngoma ipo Youtube, webpage logo ya pili ni ya Vevo kuonesha hiyo ndiyo ipo Vevo. Hata interfaces zao zipo tofauti!!

But look again! Wakati juu kabisa kuna "Likes" 58K, yaani zaidi ya 58,000 kutoka Youtube, hapo chini iliyopo Vevo kuna Likes 37 TU!!! Hiyo inaonesha wazi kwamba Seduce Me inakuwa accessed more from Youtube na sio from Vevo na ndio maana huko Vevo kuna Likes 37 TU!!!

I can bet, walio-access from Vevo hawawezi kufika hata 10K.

Hizo Views 6.4 Million unazoona vevo ni kwa sababu over 99% zinatokea Youtube na sio Vevo!!!

Aidha, hiyo Vevo Youtube channel account inakuwa monitored na Youtube na sio Vevo!!! Na ndio maana hata zilipotokea tuhuma za udanganyifu wa Views kwenye akaunti ya Lady Gaga; hizo fake views zilifyekwa na Youtube na sio Vevo!!!

Kwahiyo hiyo mnayoita eti Vevo account ni Youtube Account iliyofunguliwa kwenye Youtube Channel ya Vevo!!!

Oh! Nimekumbuka! Unadai eti:
Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.
Bado unaamini kwamba wewe sio mtu wa kujadili upupu?! Again unadai eti:
Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Now tell me! Hivi hapo aliyefumaniwa na Mange ni sisi au wewe uliyelishwa viroja vya Mange nawe ukavibeba kama vilivyo!!!!

Oh!! Lazima utakuwa mfuasi wa Mange wewe manake siku kuu ya wafuasi wa Mange ni kufuata kila anachosema!!! But you know what! Jifunze kutafuta ukweli ili uishi kwenye user ID yako Truths manake uliyoongea ni uongo mtupu!!!!

Na labda nikupe darasa fupi la mwisho!!! Youtube wana system nyoko ya ku-detect any suspicious activity!!! Video inayo-trend #1 huku ikiwa na views wengi ndani ya muda mfupi katu isingechukua saa 12 kabla wale views hawajafyekwa!!!!!

Biashara kubwa ya Google/Youtube ni matangazo. Miongoni mwa hayo matangazo ni ya kampuni kubwa za IT huko mbele!! Haya makampuni ya IT katu yasingekuwa yanapeleka matangazo sehemu ambayo matangazo hayo yangekuwa yanaangalia na Fake Viewers!

Again, bado unaamini ulichokuwa unasema sio upupu?! Aliyefumaniwa na Mange hapo ni sisi au wewe uliyelishwa upupu!!!
 
Yaani mtu kasimama kwa kushikwa mkono, mwingine kasimama mwenyewe, aliyeshikwa mkono mnataka tumuone yuko imara zaidi kuliko aliyesimama mwenyewe??

Hapa hata punguwani atashangaa...!!!
 
Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.

Akikoselewa dai, mnaanza kulialia eti wivu.

Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Gari gani hilo alilomnunulia wema?
As far as I remember alimnunulia gari moja ambalo ni murano na mama yake alipolipeleka akakuta kumbe keshanunuliwa bmw na zawadi ya diamond ikaomekana si chochote kwakuwa kumbe bidada alikuwa ndo ameamua kumbwaga na gari akauza eti hataki murano.
Hayo masuala ya freemasons sijui kutakatiaha pesa chafu hayana hata ushahidi ni maneno ya mtaani tu.
Kuzaa na wanawake ovyo kazaa na wangapi unaowafahamu? Kazaa na wanawake wawili zari na hamisa au kuna mwingine aliyethibitika kuwa kazaa naye?
 
Mange anawaharibu akili.

Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!

Enjoy good music....
Kuanzia mwanzo unaelewa mapema ni mange style. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nonsense.
Talking to much
 
Huyo jamaa nimemfuatilia comments zake yupo vizuri sana
 
Hii case, sitaki kuiongelea.
Hayo masuala ya freemasons
Ni Sawa lakini, Gwajima aligusia hili.Yule jamaa hua hakosei kitu. Na nadhani alitoa to signal. Bundle zima analo yeye. I have huge respect in him when it comes to issues.

sijui kutakatisha pesa chafu hayana hata ushahidi ni maneno ya mtaani tu.
Tufanye hivyo, ili tupambane na hali zetu.
Kuzaa na wanawake Hovyo kazaa na wangapi unaowafahamu? Kazaa na wanawake wawili zari na hamisa au kuna mwingine aliyethibitika kuwa kazaa naye?
Nikupe mfano mmoja, Ipo video, Dai mwenyewe anathibitisha hilo kua ana mtoto mkubwa kuliko Tiffah aliezaa na Mwanamke mmoja kabla.
Na akadai alienda Mwanza akiwa hotelini kuna demu alikua ametoka kulala chumba kingine na jamaa yake(Akimtaja) mpaka asubuhi, naye akamtongoza hapohapo akamwingilia hotelini asubuhi hiyo hiyo. Bila condoms, akampa ujauzito.
Kwahili Dai ndiye amekua evidence.

Sio lengo langu ku count other people's sins. Cause I don't want to act a saint in front of everybody.

NotaBene:+
Nimeweka maelezo ili kufafanua kile nilichokigusia hapo nyuma. Ningependa ieleweke hivyo. So Kama Una hoja za kupinga nadharia zangu, You are wellcome again.

Kuhusu madai ya dai ku fake viewers Nilishakubaliana na hoja za myplusbee ukirudia post za juu.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako huyo mange anawashika vichwa sana
 
Ni kweli Mkuu.
We jamaa bwana, Ngwajima mond alimwambia insta kama kweli anazo hizo video azitoe. Ngwajima akawa kimya.
Ya kuambiwa changanya na za kwako u freemasons ungekuwa rahisi hivyo kwanini ahangaike kukata mauno na kutangaza sana kazi zake si angeimba tu halafu ela ikaingia.
 
Kinachonitofautisha Mimi na wewe ni uelewa kuhusu Freemansonry.

Wewe unaamini MTU akisha ingia to akawa member basi hafanyi kazi yoyote tena, anabaki kukomba Pesa na Utajiri usio na jasho.
Fahamu Hata yule Chande alikua akifanya kazi.

Pili
Mimi naamini kwenye dhana yao ya "To make a perfect Man better".

Sasa nikianza kufafanua hapa ndio utaelewa kwanini nakubaliana na hoja za Gwaji.
Na naelewa pia ni kwanini Gwaji aliamua kukaa kimya.
Japo unasema Mondi alimueleza Insta kua alete ushahidi. Ninaweza kukiri niliisoma. Ila ninajua kwanini Gwajima aliamua kuipuuza.

Hii ni hekima kubwa Sana.
Remember, Gwajima alishaombwa msamaha na Dai. Lakini akaamua kubwatuka! iwe kwa makusudi ama bahati mbaya kua angesema Jinsi Daily alivyojiunga na mansonry.

Gwaji Anajua fika alishaombwa msamaha na Dai kupitia mitandaoni.

Hata mitandao ilimnukuu Dai aki apologize.
Ina maana hata waungwana wanaweza kukubali kua Gwajima anapaswa amsamehe mondi.

Response ya Dai, inaonyesha kukasirika na Ku panic baada ya Gwaji kujibu.

Sasa ikiwa Gwaji ataendeleza Ina maana yeye Gwaji ndiye atakua mshari kwasababu Mondi alisha mua apologize na watanzania ni mashahidi waliona kilakitu.

Njia sahihi ni kumfanya Dai abaki innocent.

kwa Mondi kusema Gwaji alete ushahidi, kisha Gwaji anapotezea. Ili kuonyesha kua hakua nao ama Ame mgwaya. Hapa mtaona Gwaji hawezi lakini inabidi iwe hivyo ili kumrudishia Dai reputation yake.

Lakini cha msingi signal itakua imemfikia Mondi kwamba Gwaji anamfahamu A to Z, ila amemstahi tu.

Hii ni picha tu moja nakueleza katika angle tofauti.
Nina uhakika, Dai hawezi thubutu kuliamsha dude sio yeye wala mlezi wake bashite.
 
Mkuu kwa mambo unayoongea hapa nina mashaka hata kama uelewa wako juu ya freemasons ni wa uhakika.
Watu wengi wanadhani freemasons sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji, magazeti ya shigongo yamepotosha jamii sana.
Hawa freemasons nimeanza wasoma way back 2003 hata tz hawajawa famous.
Diamond aliomba msamaha tena wa kiutani utani kwenye ukurasa wake wa insta, Ngwajima akaja sema ana video zake diamond akamjibu kuwa kama anazo azipost asipozipost basi atakuwa mchungaji muongo.
Usiamini kila umachoskia Ngwajima alishawambia watu atamrudisha Amina na wakaamini je alirudi?
 
Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Usichokijua kikalie kimya, acheni ushabiki maandazi. Viewers kuna Organic na Inorganic.


Organic viewers ndiyo halisi, Inorganic viewers ndiyo feki.


UTAMJUAJE MWENYE KUTUMIA INORGANIC VIEWERS?

Inorganic viewers huwa hawadumu, leo wanaweza wakawa 1 million ukija kuamka kesho wapo 100. Ukiona mtu ana viewers wengi halafu wanapungua ghafla kila siku, hao ndiyo fake.


Sasa jiulize wa Diamond wapo hivyo?
 
Mkuu wabongo wanapenda shikiwa akili na wakishamiamini mtu kila atakachosema basi.
Walianza kwa kuamini gazeti za shigongo sasa naona zama zimepita wanamuamin mange kwa kila kitu hata masuala asiyokuwa na idea nayo kama hayo.
Yeye ndiye alianza compare viewers wa kiba na mond huyo huyo leo ndiye anaanza dai huwezi compare youtube na vevo japokuwa sijui naye hajui kuwa kiba viewers wengi walitoka vevo youtube channel.,,
 
Mbona mashabik wa alikiba mnamfuatilia diamond sana naona kawashika nyet mwambien mwenzenu abadilike sio makelele huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…